buhange
JF-Expert Member
- Oct 23, 2011
- 505
- 110
Ndugu wana JF, Mimi ni mjasiamali mdogo, Natafuta mteja wa Asali mbichi inayozalishwa toka Mkoa wa Tabora na nyuki wakubwa, Mteja awe Dar, na kwa kuanzia twaweza kuanza na mzigo wa Lita 500 sawa na dumu 25 zenye lita 20 kwa dumu, aliyetayari kwa deal hii ani-PM hapa.