"Mteja wa Asali mbichi tafadhari, awe Dar es salaam".

buhange

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2011
Posts
505
Reaction score
110
Ndugu wana JF, Mimi ni mjasiamali mdogo, Natafuta mteja wa Asali mbichi inayozalishwa toka Mkoa wa Tabora na nyuki wakubwa, Mteja awe Dar, na kwa kuanzia twaweza kuanza na mzigo wa Lita 500 sawa na dumu 25 zenye lita 20 kwa dumu, aliyetayari kwa deal hii ani-PM hapa.
 
mkuu weka bei kwa dumu la litre 20,
pia ni vema ukauza dumu moja utapata wateja zaidi,
pia jaribu na ku-pack kwa 5 litre galons,
 
Back
Top Bottom