Mteja wa vanilla anahitajika

Mteja wa vanilla anahitajika

Lububi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,158
Reaction score
3,808
Salaam. Mdau mjuvi na mpenzi wa mafanikio ya binadam mwenzie anisaidie kupata mteja wa vanilla wa uhakika hasa wa nje kuanzia kg 100. Na haizid kg 150.
 
mfate AZAM ,hizo sawa na madini.

alafu siku hizi mkoa wa kagera umekuwa na wezi wa vanira kuliko kuiba kahawa au ndizi
 
Wale wadau wanaotangazia watu kununua Vanilla sijui kilo kwa 1m na kukusaidia kulima sijui kukupa shamba umewa-contact ? Huenda hapo ndio tutajua kama wadau wanauziwa mbuzi kwenye gunia
 
Sometimes magiants wa dunia wanaoshughulika na uzalishaji wa mbegu wakiona bidhaa fulani haziendi wanaanzisha propaganda za kupiga promo ili watu waingie mkenge na kununua bidhaa zilizo kwenye stock zao kisha wanapita hv.
 
Wale wadau wanaotangazia watu kununua Vanilla sijui kilo kwa 1m na kukusaidia kulima sijui kukupa shamba umewa-contact ? Huenda hapo ndio tutajua kama wadau wanauziwa mbuzi kwenye gunia
Wale watu wako interested na watu kuwapa mitaji yao na si kununua bidhaa. Mengine ngoja nisiingilie dili za watu. Ni suala la muda tu. Hiyo bei ni ya kufikirika.
 
Aisee
 
Salaam. Mdau mjuvi na mpenzi wa mafanikio ya binadam mwenzie anisaidie kupata mteja wa vanilla wa uhakika hasa wa nje kuanzia kg 100. Na haizid kg 150.
Wasiliana nami mkuu. Zipo nyuzi zangu za kutafutia watu wawekezaji na masoko.
 
Back
Top Bottom