Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sometimes magiants wa dunia wanaoshughulika na uzalishaji wa mbegu wakiona bidhaa fulani haziendi wanaanzisha propaganda za kupiga promo ili watu waingie mkenge na kununua bidhaa zilizo kwenye stock zao kisha wanapita hv.Wale wadau wanaotangazia watu kununua Vanilla sijui kilo kwa 1m na kukusaidia kulima sijui kukupa shamba umewa-contact ? Huenda hapo ndio tutajua kama wadau wanauziwa mbuzi kwenye gunia
Wale watu wako interested na watu kuwapa mitaji yao na si kununua bidhaa. Mengine ngoja nisiingilie dili za watu. Ni suala la muda tu. Hiyo bei ni ya kufikirika.Wale wadau wanaotangazia watu kununua Vanilla sijui kilo kwa 1m na kukusaidia kulima sijui kukupa shamba umewa-contact ? Huenda hapo ndio tutajua kama wadau wanauziwa mbuzi kwenye gunia
AiseeWale watu wako interested na watu kuwapa mitaji yao na si kununua bidhaa. Mengine ngoja nisiingilie dili za watu. Ni suala la muda tu. Hiyo bei ni ya kufikirika.
Wasiliana nami mkuu. Zipo nyuzi zangu za kutafutia watu wawekezaji na masoko.Salaam. Mdau mjuvi na mpenzi wa mafanikio ya binadam mwenzie anisaidie kupata mteja wa vanilla wa uhakika hasa wa nje kuanzia kg 100. Na haizid kg 150.
Namba zakoWasiliana nami mkuu. Zipo nyuzi zangu za kutafutia watu wawekezaji na masoko.