Mtemi Deogratias Kisandu amerudi wana JF tuepuke kumrudisha tena Gerezani

Mtemi Deogratias Kisandu amerudi wana JF tuepuke kumrudisha tena Gerezani

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
huyu jamaa kuna mtu imekuwa ikisemwa sometime dish linayumba na kupoteza network. lakini pia nimemsoma mtu mmoja anasema kuna kisaikolojia kuna nyaya itakuwa loose kwenye ubongo wake.. so kama mtu akichezesha tu inasabaisha short kwenye ubongo.

nawaomba wana jamiiforums chonde chonde tusije tuka gusa waya ambao unaweza sababisha short kwa kisandu na akaaanza tena kutukana safari hii hatatoka kwa dhamana. so tuwe naye kwa tahadhali na kwa upendo mkubwa. tukimsaidia kwa kuchat naye na ku comment kiustaraab pasipo kumchokonoa akaanza kuandika tena yale mambo yake.

tuhakikishe pia tunakuwa karibu naye na kumfariji kwa maneno ya upole. tusimzungumzishe sana mambo ya siasa na dini. pia tuepuke sana kuyumbisha dini lake au kugusa waya ambao upo loose. tunafurahia ujio wake na tuendelee kumtia moyo ndugu yetu. kuliko alikokuwa hakukuwa kuzuri.
 
Back
Top Bottom