GE2025 Mtemi Fundikila atangaza Dua maalum kuelekea uchaguzi mkuu

GE2025 Mtemi Fundikila atangaza Dua maalum kuelekea uchaguzi mkuu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Makamu Mwenyekiti wa Machifu Tanzania Mtemi Msogata Fundikila ametangaza kuwa kesho ataungana na maelfu ya wakazi wa mkoa wa Tabora na mikoa ya jirani kufanya Dua maalumu ya kuiombea amani Tanzania hususan katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba 2025.

Mtemi huyo amesema dua hiyo itafanyika hapo kesho Juni 12, 2025 Ikulu ya Watemi ya Itetemia iliyopo Manispaa ya Tabora kuanzia majira ya saa tano za asubuhi huku akilaani kampeni za baadhi ya wanasiasa wanaohamasisha watu wasishiriki uchaguzi huo.
 
Back
Top Bottom