Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
sijawahi kusikia Historia ya mirambo, lakini mleta mada umepoteana ulipolisifu jeshi la Mirambo lenye askari elfu kumi wakati Mkwawa pia alikuwa na idadi kubwa ya askari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu askari 10000 ni jeshi la awali. Ambao ndio waliitwa walugalugasijawahi kusikia Historia ya mirambo, lakini mleta mada umepoteana ulipolisifu jeshi la Mirambo lenye askari elfu kumi wakati Mkwawa pia alikuwa na idadi hiyo hiyo ya askari
Stori nzuri sana!Habari zenu wakuu.
Kumekuwa na upotoshaji mkubwa wa historia hasa linapokuja suala la uwezo wa Mwafrika kutokupewa sifa zinazotakiwa kama ilivyo kwa hayati J.K. Nyerere na Nelson Mandela. Afrika inaaminishwa Mandela ni zaidi ya Nyerere hiki ni kituko.
Kuna hili pia la Chief Mirambo na chief Mkwawa eti sifa kubwa anapewa Mkwawa ili tumuone ndio shujaa wetu na pia alipambana akashindwa na wazungu. Nadhani wanataka kutujengea mazingira ya kuwasujudia na kuwaogopa. Itawezekanaje uniamnishe shujaa wangu wa kuigwa ni yule aliyepigwa wakati kuna waliopiga?
Baada ya kuifatilia historia ya mtemi Mirambo a.k.a. Napoleon wa Afrika kama alivyojulikana na wazungu nimegundua kuna upotoshaji mkubwa wa historia.
Chief Mkwawa japo naye si haba ila kwa chief Mirambo hatii mguu hata kucha.
Nguvu za jeshi la Mirambo kwa Afrika mashariki alikuwa hana wakumlingasha. Ndiye aliyetawala eneo kubwa kuliko machief wengine. Tabora mpaka Kigoma eneo lake lilipakana na ziwa Tanganyika japo aliona haitoshi akaingia mpaka Burundi akapiga himaya ya Urundi akasambaratisha.
Wakati Mkwawa anasilaha za jadi kabla hajaletewa bunduki moja na Mwarabu, Mirambo alikuwa anatengeneza bunduki yeye mwenyewe na alimiliki jeshi lilikowa na active personnel zaidi ya 10000.
Hapakuwa na cha mzungu wala mwarabu aliyeleta fyoko kwenye himaya yake aliua kama anau panzi tu ikabidi wafate masharti yake kila wanapopita kwenda Zambia na Kongo walimlipa kodi kwa kuikanyaga ardhi yake huna kodi mzigo wote unabaki na kuwa mali yake.
Wafipa walijichanganya hawakumjua vizuri kichwa chake kikoje. Huyu jamaa alikuwa hana masihara kabisaa!
Wazungu baada ya kubanwa sana waliomba nguvu ya jeshi kutoka kwa sultan wa Zanzibar wakimwambia kwamba Napoleon wa Afrika anataka kuiharibu biashara yako kwakuwa ndiye alikuwa mnunuzi mkubwa wa pembe za ndovu na watumwa kutoka Zaire na Zambia.
Sultan akatuma askari 3000 kuja kuongeza nguvu kwa wazungu wakishirikiana na jeshi la snitch wa Mirambo alikuwa anaitwa Chief Mkasiwa. Jamaa walinyoosha mikono sultan akaona anamaliza watu wake akaamuru jeshi lake lililosalia lirudi Zanzibar haraka walikuwa wamebaki 1500 ndio waliokuwa wamesalimika na jeshi la awali la Mtemi Mirambo lililokuwa likiitwa Luga Luga (walugaluga).
Mtemi Mirambo alikuwa na majeshi matatu ambayo aliyapanga kwa ubora kutoka la kwanza hadi la tatu. Jeshi kali kabisa lenye mafunzo na uwezo wa juu kabisa liliitwa Abaoko kama sijakosea herufi.
Sasa Mkwawa aliuza mali zake kwa Mwarabu pembe za ndovu na kuletewa nguo Mirambo hakuuza mali zake bali alichukua za wazungu walizokuwa wamekusanya sehemu mbalimbali.
Mirambo alichukua watumwa kutoka mikononi mwa wazungu na waarabu na kuwasajili kwenye jeshi lake. Yaani unapomtaja Mirambo jua unataja habari kubwa.
Sasa historia za namna hii zinafichwa na kuoneshwa historia dhaifu ya kumtukuza mzungu kuwa ni bora.
Mtemi Mirambo alifariki kwa ugonjwa wa rovu miaka ya 1880.
Nimeweka hapa kwa kifupi sana. Kwa mwenye interest anaweza kufatilia ahakikishe mwenyewe.
MAGUFULI4LIFE.
Hapana, mtemi Milambo alifariki kwa kulishwa vitu na mjomba wake, waligombana. Alikatazwa na mama yake asiende kupigana na mjomba wake, hivyo uncle alimzidi uganga Milambo akajikuta kachukuliwa kwa njia za kishirikina na kula kichwa cha mbwa na baada ya hapo alipojigundua akasema Mjomba basi umeniweza, na ukawa mwisho wake.Habari zenu wakuu.
Kumekuwa na upotoshaji mkubwa wa historia hasa linapokuja suala la uwezo wa Mwafrika kutokupewa sifa zinazotakiwa kama ilivyo kwa hayati J.K. Nyerere na Nelson Mandela. Afrika inaaminishwa Mandela ni zaidi ya Nyerere hiki ni kituko.
Kuna hili pia la Chief Mirambo na chief Mkwawa eti sifa kubwa anapewa Mkwawa ili tumuone ndio shujaa wetu na pia alipambana akashindwa na wazungu. Nadhani wanataka kutujengea mazingira ya kuwasujudia na kuwaogopa. Itawezekanaje uniamnishe shujaa wangu wa kuigwa ni yule aliyepigwa wakati kuna waliopiga?
Baada ya kuifatilia historia ya mtemi Mirambo a.k.a. Napoleon wa Afrika kama alivyojulikana na wazungu nimegundua kuna upotoshaji mkubwa wa historia.
Chief Mkwawa japo naye si haba ila kwa chief Mirambo hatii mguu hata kucha.
Nguvu za jeshi la Mirambo kwa Afrika mashariki alikuwa hana wakumlingasha. Ndiye aliyetawala eneo kubwa kuliko machief wengine. Tabora mpaka Kigoma eneo lake lilipakana na ziwa Tanganyika japo aliona haitoshi akaingia mpaka Burundi akapiga himaya ya Urundi akasambaratisha.
Wakati Mkwawa anasilaha za jadi kabla hajaletewa bunduki moja na Mwarabu, Mirambo alikuwa anatengeneza bunduki yeye mwenyewe na alimiliki jeshi lilikowa na active personnel zaidi ya 10000.
Hapakuwa na cha mzungu wala mwarabu aliyeleta fyoko kwenye himaya yake aliua kama anau panzi tu ikabidi wafate masharti yake kila wanapopita kwenda Zambia na Kongo walimlipa kodi kwa kuikanyaga ardhi yake huna kodi mzigo wote unabaki na kuwa mali yake.
Wafipa walijichanganya hawakumjua vizuri kichwa chake kikoje. Huyu jamaa alikuwa hana masihara kabisaa!
Wazungu baada ya kubanwa sana waliomba nguvu ya jeshi kutoka kwa sultan wa Zanzibar wakimwambia kwamba Napoleon wa Afrika anataka kuiharibu biashara yako kwakuwa ndiye alikuwa mnunuzi mkubwa wa pembe za ndovu na watumwa kutoka Zaire na Zambia.
Sultan akatuma askari 3000 kuja kuongeza nguvu kwa wazungu wakishirikiana na jeshi la snitch wa Mirambo alikuwa anaitwa Chief Mkasiwa. Jamaa walinyoosha mikono sultan akaona anamaliza watu wake akaamuru jeshi lake lililosalia lirudi Zanzibar haraka walikuwa wamebaki 1500 ndio waliokuwa wamesalimika na jeshi la awali la Mtemi Mirambo lililokuwa likiitwa Luga Luga (walugaluga).
Mtemi Mirambo alikuwa na majeshi matatu ambayo aliyapanga kwa ubora kutoka la kwanza hadi la tatu. Jeshi kali kabisa lenye mafunzo na uwezo wa juu kabisa liliitwa Abaoko kama sijakosea herufi.
Sasa Mkwawa aliuza mali zake kwa Mwarabu pembe za ndovu na kuletewa nguo Mirambo hakuuza mali zake bali alichukua za wazungu walizokuwa wamekusanya sehemu mbalimbali.
Mirambo alichukua watumwa kutoka mikononi mwa wazungu na waarabu na kuwasajili kwenye jeshi lake. Yaani unapomtaja Mirambo jua unataja habari kubwa.
Sasa historia za namna hii zinafichwa na kuoneshwa historia dhaifu ya kumtukuza mzungu kuwa ni bora.
Mtemi Mirambo alifariki kwa ugonjwa wa rovu miaka ya 1880.
Nimeweka hapa kwa kifupi sana. Kwa mwenye interest anaweza kufatilia ahakikishe mwenyewe.
MAGUFULI4LIFE.
Wazee wengi wanasema aliuawa kama ulivyo sema na wengine wanasema kuna muda Mirambo aliugua akashindwa kusimama kama kiongozi kwa ugonjwa ndipo ndugu wakaona wamuue tu ili kiti akalie ndugu mwenye nguvu ila haya hayajawekwa hata kwenye historia ya pale kwake ukienda kujifunza.Hapana, mtemi Milambo alifariki kwa kulishwa vitu na mjomba wake, waligombana. Alikatazwa na mama yake asiende kupigana na mjomba wake, hivyo uncle alimzidi uganga Milambo akajikuta kachukuliwa kwa njia za kishirikina na kula kichwa cha mbwa na baada ya hapo alipojigundua akasema Mjomba basi umeniweza, na ukawa mwisho wake.
Ukirudia kusoma utajua snitch wa Mirambo chief Mkasiwa ndiye alikuwa anauza watu wake na ndiye aliye wakaribisha waarabu Tabora.Swali kwako bwana mwandishi/msimulizi...
Je ni wakati upi ambapo Waarabu walikuwa wakienda maeneo ya kuanzia Kigoma hadi Unyamwezini kujitwalia watumwa?
Ni kipindi cha Mirambo, Isike au mtemi mwingine tu?
Ikumbukwe watumwa wengi waliokijaza kisiwa cha Zanzibar wale waliouzwa masoko ya watumwa ya Bagamoyo na Kilwa Masoko walitokea Unyamwezini na maeneo ya Kigoma na Katavi ya sasa
Dah kweli kabisa mkuu huyu jamaa alikua na sehem inaitwa sela magazi hapo mahala ilikua ni kumwaga damuHabari zenu wakuu.
Kumekuwa na upotoshaji mkubwa wa historia hasa linapokuja suala la uwezo wa Mwafrika kutokupewa sifa zinazotakiwa kama ilivyo kwa hayati J.K. Nyerere na Nelson Mandela. Afrika inaaminishwa Mandela ni zaidi ya Nyerere hiki ni kituko.
Kuna hili pia la Chief Mirambo na chief Mkwawa eti sifa kubwa anapewa Mkwawa ili tumuone ndio shujaa wetu na pia alipambana akashindwa na wazungu. Nadhani wanataka kutujengea mazingira ya kuwasujudia na kuwaogopa. Itawezekanaje uniamnishe shujaa wangu wa kuigwa ni yule aliyepigwa wakati kuna waliopiga?
Baada ya kuifatilia historia ya mtemi Mirambo a.k.a. Napoleon wa Afrika kama alivyojulikana na wazungu nimegundua kuna upotoshaji mkubwa wa historia.
Chief Mkwawa japo naye si haba ila kwa chief Mirambo hatii mguu hata kucha.
Nguvu za jeshi la Mirambo kwa Afrika mashariki alikuwa hana wakumlingasha. Ndiye aliyetawala eneo kubwa kuliko machief wengine. Tabora mpaka Kigoma eneo lake lilipakana na ziwa Tanganyika japo aliona haitoshi akaingia mpaka Burundi akapiga himaya ya Urundi akasambaratisha.
Wakati Mkwawa anasilaha za jadi kabla hajaletewa bunduki moja na Mwarabu, Mirambo alikuwa anatengeneza bunduki yeye mwenyewe na alimiliki jeshi lilikowa na active personnel zaidi ya 10000.
Hapakuwa na cha mzungu wala mwarabu aliyeleta fyoko kwenye himaya yake aliua kama anau panzi tu ikabidi wafate masharti yake kila wanapopita kwenda Zambia na Kongo walimlipa kodi kwa kuikanyaga ardhi yake huna kodi mzigo wote unabaki na kuwa mali yake.
Wafipa walijichanganya hawakumjua vizuri kichwa chake kikoje. Huyu jamaa alikuwa hana masihara kabisaa!
Wazungu baada ya kubanwa sana waliomba nguvu ya jeshi kutoka kwa sultan wa Zanzibar wakimwambia kwamba Napoleon wa Afrika anataka kuiharibu biashara yako kwakuwa ndiye alikuwa mnunuzi mkubwa wa pembe za ndovu na watumwa kutoka Zaire na Zambia.
Sultan akatuma askari 3000 kuja kuongeza nguvu kwa wazungu wakishirikiana na jeshi la snitch wa Mirambo alikuwa anaitwa Chief Mkasiwa. Jamaa walinyoosha mikono sultan akaona anamaliza watu wake akaamuru jeshi lake lililosalia lirudi Zanzibar haraka walikuwa wamebaki 1500 ndio waliokuwa wamesalimika na jeshi la awali la Mtemi Mirambo lililokuwa likiitwa Luga Luga (walugaluga).
Mtemi Mirambo alikuwa na majeshi matatu ambayo aliyapanga kwa ubora kutoka la kwanza hadi la tatu. Jeshi kali kabisa lenye mafunzo na uwezo wa juu kabisa liliitwa Abaoko kama sijakosea herufi.
Sasa Mkwawa aliuza mali zake kwa Mwarabu pembe za ndovu na kuletewa nguo Mirambo hakuuza mali zake bali alichukua za wazungu walizokuwa wamekusanya sehemu mbalimbali.
Mirambo alichukua watumwa kutoka mikononi mwa wazungu na waarabu na kuwasajili kwenye jeshi lake. Yaani unapomtaja Mirambo jua unataja habari kubwa.
Sasa historia za namna hii zinafichwa na kuoneshwa historia dhaifu ya kumtukuza mzungu kuwa ni bora.
Mtemi Mirambo alifariki kwa ugonjwa wa rovu miaka ya 1880.
Nimeweka hapa kwa kifupi sana. Kwa mwenye interest anaweza kufatilia ahakikishe mwenyewe.
MAGUFULI4LIFE.
Tactic kubwa ya Mirambo ya kujifanya umezidiwa mapambano na kurudi nyuma ndiyo iliyotumika kumpiga Idd Amini pale darajani JWTZ walirudi nyuma kama wamezidiwa kumbe ndio zilikuwa hesabu zenyewe. Katika machief waliokuwa wajanja na wenye akili ya haraka Mirambo ndio mshika bendera.Mirambo badooo sana kumuwekea battle na mkwawa. Kwa wasiojua hadi leo kuna medan ya kivita aliitumia mkwawa kijj cha LUGALO kwenye battle na kamanda VON ZELEWSKY, tactic hii inatumiwa na kufundshwa pia na JWTZ.. hadii leo staitaji ni siri za jeshi..So miramboo hakuwaa genious kuliko mkwawa...big no . Japo naweza kukubali geographically mirambo alikuwaa na sehem kubwaa with lillte resistance.
Kwa mantiki hiyo kumbe mirambo alikua mwamba kwa sababu wakoloni hawakuhitaji mikataba na machifu ya kibiashara Ila walipora na kitu kingine kwenye himaya ya mtemi mirambo hawa jamaa hawakugusa kuchukua mtumwa yeyete Ila walipita na watumwa kutoka huko mbali na Kodi walitoaUmekuza sana story za Mtemi Mirambo.
Jamaa alikuwa mtemi wa kawaida sana, ila alikuwa anajimwambafai kama Magufuli.
Hivi unajua Mirambo ndio mtemi maarufu aliyekuwa akipenda hongo?
Hivi unajua Mtemi Mirambo alikuwa mfanyabiashara maarufu wa watumwa kwa huku bara?
Hivi unajua Mtemi Mirambo alikuwa mtemi aliyekuwa na mikataba mingi zaidi ya kibiashara za kilaghai ambayo alifanya na waarabu, wajerumani.
Kuhusu Mtemi Mkwawa hiyo ni level nyingine kabisa. Misimamo yake isiyoyumba, nidhamu ya askari wake na mbinu za medani za kivita alizokuwa nazo, mpaka leo hii wajerumani wanampigia saluti.
Kama hujui tu, Mkwawa aliwachinja mpaka wamisionari wa kizungu waliofika kwenye himaya yake ambao kiasili walikuwa hawaguswi maana enzi zile walionekana kama wajumbe wa amani (malaika!).
Bado kidogo kila chief aliyejulikana anauza watu wake Mirambo hakumuacha salama alienda kumpiga na kutanua himaya ndio sababu ya Mirambo kutawala mpaka ziwa Victoria kurudi Kagera mpaka ziwa Tanganyika kote alifanikiwa kuunganisha na kuwa himaya yake. Hata kisa cha kuvuka ziwa Tanganyika kwenda kuipiga himaya ya Urundi ambayo ndio Burundi ya sasa ni baada ya chief wake kuwa anauza watu wake.Kwa mantiki hiyo kumbe mirambo alikua mwamba kwa sababu wakoloni hawakuhitaji mikataba na machifu ya kibiashara Ila walipora na kitu kingine kwenye himaya ya mtemi mirambo hawa jamaa hawakugusa kuchukua mtumwa yeyete Ila walipita na watumwa kutoka huko mbali na Kodi walitoa
Reference kwakuwa historia yake haikuwekwa wazi inakuwa ngumu kidogo ila hii kidogo itakupa ishara.Stori nzuri sana!
Mkuu tupe reference yo yote inayoeleza ukweli huu.Harafu uniweke sawa ugonjwa wa rovu ukoje!
Mtemi wa Mashoga.Na mtemi lisu vp