Mtendaji wa Kata ya Kainam Wilaya ya Mbulu Mkoa ya Manyara, ametiwa hatiani kwa kosa la uhujumu uchumi

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Tarehe 17/07/2025 Mahakama ya Wilaya ya Mbulu katika shauri la uhujumu uchumi (ECC. No. 13987/2025) imemtia hatiani mshtakiwa Mtendaji wa Kata ya Kainam Bw, ELIWANGU FADHILI MKUMBWA kwa kosa la ufujaji na ubadhilifu wa fedha za mradi wa Kituo cha Afya Kainam alizozitumia kwa manufaa yake binafsi. Kosa hili ni kinyume na k/f cha 28(1)cha PCCA Cap 329 R: E 2023 vikisomwa pamoja na aya ya 21 katika jedwali la kwanza na k/f cha 57(1) na 60(2) vya Sheria ya Kudhibiti Uhujumu Uchumi na Makosa ya Kupanga Sura 200 R: E 2023.

Kesi hii imeendeshwa na Mwendesha Mashtaka wa TAKUKURU Bi. Neema Gembe.

Akisoma hukumu hiyo Mh VITUS KAPUGI (Hakimu Mkazi Mwandamizi) Wilaya ya Mbulu amemtia hatiani mshtakiwa baada ya mshtakiwa huyo kufanya makubaliano (plea bargaining agreement) na ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP).

Mshtakiwa amepewa adhabu ya kulipa faini ya kiasi cha shilingi laki moja (100,000) au akishindwa kutumikia kifungo cha gerezani kwa muda wa miezi sita pamoja kurejesha fedha alizozifanyia ubadhilifu kiasi cha Tzs 3,129,000/= kwa Muhanga.

Hadi hukumu inasomwa mshtakiwa amefanikiwa kurejesha kiasi cha Tzs 1,560,000/= katika akaunti ya Kainam Community Account (Muhanga) iliyopo Bank ya NMB na kiasi kilichobaki atatakiwa kurejesha kabla au ndani ya miezi sita kama ilivyokubaliwa kwenye mkataba wa plea bargaining.
 
Pccb waache ujinga na siasa .
Wagombea wa ccm mfano Angela kairuki wanagawa mabunda hadharani wanaenda kumtia hatiani mtendaji wa kata???
 
Tarehe 17/07/2025 Mahakama ya Wilaya ya Mbulu katika shauri la uhujumu uchumi (ECC. No. 13987/2025) imemtia hatiani mshtakiwa Mtendaji wa Kata ya Kainam Bw, ELIWANGU FADHILI MKUMBWA kwa kosa la ufujaji na ubadhilifu wa fedha za mradi wa Kituo cha Afya Kainam alizozitumia kwa manufaa yake binafsi. Kosa hili ni kinyume na k/f cha 28(1)cha PCCA Cap 329 R: E 2023 vikisomwa pamoja na aya ya 21 katika jedwali la kwanza na k/f cha 57(1) na 60(2) vya Sheria ya Kudhibiti Uhujumu Uchumi na Makosa ya Kupanga Sura 200 R: E 2023.

Kesi hii imeendeshwa na Mwendesha Mashtaka wa TAKUKURU Bi. Neema Gembe.

Akisoma hukumu hiyo Mh VITUS KAPUGI (Hakimu Mkazi Mwandamizi) Wilaya ya Mbulu amemtia hatiani mshtakiwa baada ya mshtakiwa huyo kufanya makubaliano (plea bargaining agreement) na ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP).

Mshtakiwa amepewa adhabu ya kulipa faini ya kiasi cha shilingi laki moja (100,000) au akishindwa kutumikia kifungo cha gerezani kwa muda wa miezi sita pamoja kurejesha fedha alizozifanyia ubadhilifu kiasi cha Tzs 3,129,000/= kwa Muhanga.

Hadi hukumu inasomwa mshtakiwa amefanikiwa kurejesha kiasi cha Tzs 1,560,000/= katika akaunti ya Kainam Community Account (Muhanga) iliyopo Bank ya NMB na kiasi kilichobaki atatakiwa kurejesha kabla au ndani ya miezi sita kama ilivyokubaliwa kwenye mkataba wa plea bargaining.
Labda huyo mtendaji aliwatukana CCM alishindwa nini kuwajali Baraza la madiwan mfano unatoa laki 5 unawapa Kisha hiyo pesa inakuwa imetumika katika kujenga chama da wengine ni washamba
 
Tuwekee ushahidi mkuu
Hata nikikuambia wapo wapi wauaji wa kibao utasema nikuwekee ushahidi. Mm nimeutafuta ushahidi ninao weka wewe wa kwako kwamba ANGELA KAIRUKOHAJATOA ELFU 70000 KWA KILA MJUMBE WA CCM HUKO KIBAMBA?
 
Tarehe 17/07/2025 Mahakama ya Wilaya ya Mbulu katika shauri la uhujumu uchumi (ECC. No. 13987/2025) imemtia hatiani mshtakiwa Mtendaji wa Kata ya Kainam Bw, ELIWANGU FADHILI MKUMBWA kwa kosa la ufujaji na ubadhilifu wa fedha za mradi wa Kituo cha Afya Kainam alizozitumia kwa manufaa yake binafsi. Kosa hili ni kinyume na k/f cha 28(1)cha PCCA Cap 329 R: E 2023 vikisomwa pamoja na aya ya 21 katika jedwali la kwanza na k/f cha 57(1) na 60(2) vya Sheria ya Kudhibiti Uhujumu Uchumi na Makosa ya Kupanga Sura 200 R: E 2023.

Kesi hii imeendeshwa na Mwendesha Mashtaka wa TAKUKURU Bi. Neema Gembe.

Akisoma hukumu hiyo Mh VITUS KAPUGI (Hakimu Mkazi Mwandamizi) Wilaya ya Mbulu amemtia hatiani mshtakiwa baada ya mshtakiwa huyo kufanya makubaliano (plea bargaining agreement) na ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP).

Mshtakiwa amepewa adhabu ya kulipa faini ya kiasi cha shilingi laki moja (100,000) au akishindwa kutumikia kifungo cha gerezani kwa muda wa miezi sita pamoja kurejesha fedha alizozifanyia ubadhilifu kiasi cha Tzs 3,129,000/= kwa Muhanga.

Hadi hukumu inasomwa mshtakiwa amefanikiwa kurejesha kiasi cha Tzs 1,560,000/= katika akaunti ya Kainam Community Account (Muhanga) iliyopo Bank ya NMB na kiasi kilichobaki atatakiwa kurejesha kabla au ndani ya miezi sita kama ilivyokubaliwa kwenye mkataba wa plea bargaining.
Milioni 3.

Hizo ndio kazi za TAKUKURU.

Itakuwa hakuwagawia
 
Takukuru wanajiadhririsha sana Kwa kufatilia na kutumia gharama kubwa Kwa kesi ya laki Moja, ni upumbavu kabisa
 
tungeanza na abduli anavyochezea pesa za taifa
 
Wanyonge wananyongana wenyewe kwa wenyewe
 
Back
Top Bottom