28/03/2015
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 366
- 335
Jamani Mimi Nimehitimu Chuo Cha Kilimo, Lakini Kutokana Na Ukosefu Wa Ajira Nataka Kutumia Ujuzi Nilio Nao Wa Kutengeneza Incubator Ktk Kujimudu Kimaisha, Lakini Tatizo Sina Mtaji Hata Wa Kununulia Vifaa Ili Nianze Kazi, Sasa Kwa Yeyote Anayeweza Akanisaidia Kimawazo/ushauri Au Kwa Namna Nyingine, Au Pia Anayehitaji Mashine, Tuwasiliane 0719044015
Cost ya kutengeneza incubator moja ni kiasi gani?
Hapo unachohitaji sio mtaji bali ni kufanya marketing /matangazo ya kwamba unatengeneza incubator watu wanakupa kiasi fulani ukishamaliza unawapa baada ya hapo hata ukiwa nazo mbili ukiuza unatengeneza nyingine, pia unaweza kuanzisha consultancha ya ushauri wa ufugaji
By the way unless unatengeneza kerosene incubator au solar tena automatic egg turning na humidity utapata competition kubwa kuna mashine value for money from china