Mtengenezaji wa Incubator asiye na Mtaji

Mtengenezaji wa Incubator asiye na Mtaji

28/03/2015

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2015
Posts
366
Reaction score
335
Jamani Mimi Nimehitimu Chuo Cha Kilimo, Lakini Kutokana Na Ukosefu Wa Ajira Nataka Kutumia Ujuzi Nilio Nao Wa Kutengeneza Incubator Ktk Kujimudu Kimaisha, Lakini Tatizo Sina Mtaji Hata Wa Kununulia Vifaa Ili Nianze Kazi, Sasa Kwa Yeyote Anayeweza Akanisaidia Kimawazo/ushauri Au Kwa Namna Nyingine, Au Pia Anayehitaji Mashine,
 
Jamani Mimi Nimehitimu Chuo Cha Kilimo, Lakini Kutokana Na Ukosefu Wa Ajira Nataka Kutumia Ujuzi Nilio Nao Wa Kutengeneza Incubator Ktk Kujimudu Kimaisha, Lakini Tatizo Sina Mtaji Hata Wa Kununulia Vifaa Ili Nianze Kazi, Sasa Kwa Yeyote Anayeweza Akanisaidia Kimawazo/ushauri Au Kwa Namna Nyingine, Au Pia Anayehitaji Mashine, Tuwasiliane 0719044015

Sasa anayehitaji mashine akikutafuta utamwuzia nini wakati hujaweza hata kununua vifaa vya kutengenezea?

Anyway, nakutakia kila la heri katika usakaji wa mtaji kwa ajili ya harakati zako za kutengeneza viatamishi!
 
Cost ya kutengeneza incubator moja ni kiasi gani?


Hapo unachohitaji sio mtaji bali ni kufanya marketing /matangazo ya kwamba unatengeneza incubator watu wanakupa kiasi fulani ukishamaliza unawapa baada ya hapo hata ukiwa nazo mbili ukiuza unatengeneza nyingine, pia unaweza kuanzisha consultancy ya ushauri wa ufugaji

By the way unless unatengeneza kerosene incubator au solar tena automatic egg turning na humidity utapata competition kubwa kuna mashine value for money from china
 
Cost ya kutengeneza incubator moja ni kiasi gani?


Hapo unachohitaji sio mtaji bali ni kufanya marketing /matangazo ya kwamba unatengeneza incubator watu wanakupa kiasi fulani ukishamaliza unawapa baada ya hapo hata ukiwa nazo mbili ukiuza unatengeneza nyingine, pia unaweza kuanzisha consultancha ya ushauri wa ufugaji

By the way unless unatengeneza kerosene incubator au solar tena automatic egg turning na humidity utapata competition kubwa kuna mashine value for money from china

Umemaliza kiongozi - huyu dogo hajawa wazi katika hili, binafsi nahitaji lakini iwe ya mafuta ya taa / solar au tech nyingine na sio umeme kukatika kila siku wakati sina generator
 
Back
Top Bottom