Mtenje albano

Mtenje albano

sio kila mtu anajua humu ungefafanua mkuu,kafanyaje huyo mtenje albano
Uyo mtenje albano bwana kabla ya mechi ya yanga na fountain gate alikuwa anahojiwa na vyombo vya habari akasema aijawai kutokea timu anayokuwepo yeye ikafungwa na yanga zaidi ya goli Moja,,ivyo ata mechi ambayo wangecheza na yanga kwake ni kama mazoezi tu,,sasa kilichofatia amepokea kichapo cha goli 5 na goli Moja limepitia upande wake,,alivyoona mambo mazito akajivunja akatolewa nje🤣🤣🤣
 
Huyo Mtenje ameona na yeye afuate nyendo za mchezaji mwenzake Kelvin Kijili.
 
IMG_20241230_193926_542.jpg
 
Back
Top Bottom