Mtetezi wa Kundi la LGBTQ auawa

Mtetezi wa Kundi la LGBTQ auawa

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Edwin Chiloba, kijana Mkenya ambaye alishajitokeza hadharani kama mtetezi wa kundi la LQBTQ nchini humo apatikana ameuwawa na Mwili wake kuwekwa ndani ya sanduku jijini #Eldoret

Picha ya mwisho aliyo'post' Edwin kwenye akaunti yake ya #Instagram ilikuwa ni mkesha wa mwaka mpya na nguo alizokuwa amevaa ndani na eneo Moja la burudani jijini Eldoret ndizo alizokuwa nazo kwenye sanduku

Huku Polisi wakiendelea na uchunguzi wa tukio hilo, imebainika kuwa Septemba 2022, Bw. Chiloba alishambuliwa na watu wasiojulikana lakini alinusurika. Katika tukio hilo, watu wasiofurahishwa na mtindo wake wa maisha wa LGBTQ walimvamia na kumjeruhi

.................

A man whose lifeless body was found stuffed inside a metallic box along the Kipenyo-Katinga Road in Uasin Gishu County has been identified by police as LGBTQ activist and model Edwin Chiloba.

Bodaboda riders saw a vehicle, whose registration number was concealed, dump the box along the road, and they alerted the police

When police opened the box, they found the man’s decomposing body, dressed in a woman’s clothes. His body was taken to the Moi Teaching and Referral Hospital, awaiting post-mortem to establish the cause of death.

Mr Chiloba, famous within the streets of Eldoret town, often dressed in women’s clothes and shared his photos on his official social media accounts.

The last Instagram post that he shared on December 29th, 2022, indicated that he had hoped to achieve multiple goals in 2023, among them growing his fashion brand and working with major companies

Nairobi News has established that Mr Chiloba was four months ago attacked by unknown assailants but he luckily survived.

In the incident, people against his LGBTQ lifestyle pounced on him and beat him up. Following this incident, he suffered injuries including a large cut on his lips and blood was trickling down from the upper part of his face, images seen by Nairobi News show. His clothes were also torn and dirty, and there were scrapes and bruises all over his face.

An Instagram user by the name Biubwa-uncut narrated how they reached out to him trying to inquire what had transpired and he responded by saying that he would talk when he is ready.

“Barely 4 months later, they have brutally murdered you in the most uncouth of ways and my heart is shattered. I know you fought,” Biubwa-uncut posted on the Instagram account.

Source: Nation. Africa
 
jamaa alikua anakula au analiwa?
Obviously huyu alikuwa KWELI huyu
Screenshot_2023-01-06-16-25-35-616_com.google.android.googlequicksearchbox.jpg
 
Ila tuache masihara mtu anaethubutu kumvuta mbavu mwanaume mwenzake huyo lazima atakuwa na matatizo makubwa ya akili.

Ona hii nyang'au hapa,hiyo mikono ilivyokuwa migumu imejaa misuli liuso limejaa ndevu mwanaume unakuwaje attracted hadi ku-erect?mchezo wenyewe ni wa kuchezea M^√| hivi mtu anawezaje kurudia na kurudia?

Inafikirisha sana
IMG_20230106_162851.jpg
 
Wewe ndio unatetea ufiraji
Punguza ujinga kidogo, wangapi wanafanya ujinga zaidi ya huo katika jamii zetu, kwanini hawauliwi? Wangapi wanatembea na wake za watu? Wangapi wanasababisha vifo kwa uzembe wa madereva na madaktari na nurses?

Wacha kutuleta Mambo ya Imani yako na unataka kila mtua afuate vile unavyotaka wewe. Yeye amemkosea nani hapa duniani? Kama amemkosea Mungu, wacha Mungu atamuadhibu siku ya mwisho, Mambo mangapi tunamkosea Mungu kila siku, kwanini tusiuwawe?

Jaribu kuelimika kidogo na utoke huko uliko

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ila tuache masihara mtu anaethubutu kumvuta mbavu mwanaume mwenzake huyo lazima atakuwa na matatizo makubwa ya akili.

Ona hii nyang'au hapa,hiyo mikono ilivyokuwa migumu imejaa misuli liuso limejaa ndevu mwanaume unakuwaje attracted hadi ku-erect?mchezo wenyewe ni wa kuchezea M^√| hivi mtu anawezaje kurudia na kurudia?



Inafikirisha sana View attachment 2471090

Mkuu hata mimi huwa siwashangai sana hawa
Huwa najiuliza hao wanaowabandua huwa wanapata huo ujasiri?
 
Back
Top Bottom