Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Aione cocastic kwenye faili..
RIP kiumbe wa MUNGU pumzika kwa amani ulipojichagulia.
RIP kiumbe wa MUNGU pumzika kwa amani ulipojichagulia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau yule gavana wa Nairobi pia alikuwa anakobolewaDuh! Kayajaribisha hayo mavitu mji wa Eldoret, huko ni mikoani, utauawa, hayo labda uyafanye kuanzia Mombasa, Pemba, Dar hadi Tanga....
Damn u man[emoji1787]When I saw this image, I remembered the advice my grandfather gave me at my Uncle's wedding while we were sitting close to each other next to the Music Band. The music was so loud I couldn't hear what he said. [emoji1787][emoji1787]
WTFIla tuache masihara mtu anaethubutu kumvuta mbavu mwanaume mwenzake huyo lazima atakuwa na matatizo makubwa ya akili.
Ona hii nyang'au hapa,hiyo mikono ilivyokuwa migumu imejaa misuli liuso limejaa ndevu mwanaume unakuwaje attracted hadi ku-erect?mchezo wenyewe ni wa kuchezea M^√| hivi mtu anawezaje kurudia na kurudia?
Inafikirisha sana View attachment 2471090
Bila shaka wazungu ni kaka zenu.Suala sio kuhalalisha, issue ni wapi mnayafanya sana, tofauti yenu na wazungu ni kwamba wazungu wanafanya wazi bila kuficha, ila nyie huko Pwani na hata kule kwa waarabu wanayafanya sana kisiri, kwa sasa hivi ushoga umekua kitu cha mawaida maeneo yenu kuanzia Pemba, Mombasa na Pwani yote.... Watu mnafumuana kwenye mikanzu yenu hiyo https://www.rfi.fr/sw/eac/20170918-watu-20-wakamatwa-kwa-kushtumiwa-ushoga-zanzibar
Binafsi huo ndio msimamo wangu hata serikali ingelisimamia hili kimya kimya bila kuwastua wazee wa haki za binadamu hawa wapuuzi wangeisha kwenye jamii yetu.Nimeipenda hiyo ya Wakenya.
Jamaa wametuma ujumbe mzuri kwa society na nadhani kutoka sasa itakuwa clearly kwamba kama kuvutana mbavu wavutane vyumbani mwao wakimaliza wakae kimya.
Dunia hadaa 😅Ila tuache masihara mtu anaethubutu kumvuta mbavu mwanaume mwenzake huyo lazima atakuwa na matatizo makubwa ya akili.
Ona hii nyang'au hapa,hiyo mikono ilivyokuwa migumu imejaa misuli liuso limejaa ndevu mwanaume unakuwaje attracted hadi ku-erect?mchezo wenyewe ni wa kuchezea M^√| hivi mtu anawezaje kurudia na kurudia?
Inafikirisha sana View attachment 2471090
Nawewe tukikukamata tunakuua tu. Usihalalishe dhambi Moja Kwa kutizama nyinginePunguza ujinga kidogo, wangapi wanafanya ujinga zaidi ya huo katika jamii zetu, kwanini hawauliwi?, Wangapi wanatembea na wake za watu?, Wangapi wanasababisha vifo kwa uzembe wa madereva na madaktari na nurses?.
Wacha kutuleta Mambo ya Imani yako na unataka kila mtua afuate vile unavyotaka wewe. Yeye amemkosea nani hapa duniani?, Kama amemkosea Mungu, wacha Mungu atamuadhibu siku ya mwisho, Mambo mangapi tunamkosea Mungu kila siku, kwanini tusiuwawe?.
Jaribu kuelimika kidogo na utoke huko uliko
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Unataka kumaanisha nini ?
ConfusionIla tuache masihara mtu anaethubutu kumvuta mbavu mwanaume mwenzake huyo lazima atakuwa na matatizo makubwa ya akili.
Ona hii nyang'au hapa,hiyo mikono ilivyokuwa migumu imejaa misuli liuso limejaa ndevu mwanaume unakuwaje attracted hadi ku-erect?mchezo wenyewe ni wa kuchezea M^√| hivi mtu anawezaje kurudia na kurudia?
Inafikirisha sana View attachment 2471090
LGBTQ ni ushetani kamili unaopata push kubwa ya umagharibi,ni biashara inayowanufaisha wazungu.Yenye uwekezaji mkubwa sana,pengine hata kuzidi uwekezaji wa kwenye kupambana na ukimwi na majanga mengineEdwin Chiloba, kijana Mkenya ambaye alishajitokeza hadharani kama mtetezi wa kundi la LQBTQ nchini humo apatikana ameuwawa na Mwili wake kuwekwa ndani ya sanduku jijini #Eldoret
Picha ya mwisho aliyo'post' Edwin kwenye akaunti yake ya #Instagram ilikuwa ni mkesha wa mwaka mpya na nguo alizokuwa amevaa ndani na eneo Moja la burudani jijini Eldoret ndizo alizokuwa nazo kwenye sanduku
Huku Polisi wakiendelea na uchunguzi wa tukio hilo, imebainika kuwa Septemba 2022, Bw. Chiloba alishambuliwa na watu wasiojulikana lakini alinusurika. Katika tukio hilo, watu wasiofurahishwa na mtindo wake wa maisha wa LGBTQ walimvamia na kumjeruhi
.................
A man whose lifeless body was found stuffed inside a metallic box along the Kipenyo-Katinga Road in Uasin Gishu County has been identified by police as LGBTQ activist and model Edwin Chiloba.
Bodaboda riders saw a vehicle, whose registration number was concealed, dump the box along the road, and they alerted the police
When police opened the box, they found the man’s decomposing body, dressed in a woman’s clothes. His body was taken to the Moi Teaching and Referral Hospital, awaiting post-mortem to establish the cause of death.
Mr Chiloba, famous within the streets of Eldoret town, often dressed in women’s clothes and shared his photos on his official social media accounts.
The last Instagram post that he shared on December 29th, 2022, indicated that he had hoped to achieve multiple goals in 2023, among them growing his fashion brand and working with major companies
Nairobi News has established that Mr Chiloba was four months ago attacked by unknown assailants but he luckily survived.
In the incident, people against his LGBTQ lifestyle pounced on him and beat him up. Following this incident, he suffered injuries including a large cut on his lips and blood was trickling down from the upper part of his face, images seen by Nairobi News show. His clothes were also torn and dirty, and there were scrapes and bruises all over his face.
An Instagram user by the name Biubwa-uncut narrated how they reached out to him trying to inquire what had transpired and he responded by saying that he would talk when he is ready.
“Barely 4 months later, they have brutally murdered you in the most uncouth of ways and my heart is shattered. I know you fought,” Biubwa-uncut posted on the Instagram account.
Source: Nation. Africa
Kwa hiyo kosa ni kuwa shoga au ni kujitangaza?. Mkuu Kuna watu wanatembea na wake/ waume za watu na wanajitangaza mitaani na jamii nzima tunawajaua, kwanini hatuwavamii na kuwaua?.Chief sijui unatetea nini ktk hili but let me tell you something bruh!!!
Mimi naweza kuwa mwizi ila sikai hadharani social media kujitangaza mimi ni mwizi,naweza kuwa mzinzi ila hunikuti nime-post kwamba kuzini ni jambo jema naweza pia kuwa nachukua wake za watu ila si-share ktk jamii kwamba nafanya jambo jema shida ya hawa watu wanajitangaza na wanalazimisha uchafu wao uenee ktk jamii,sisi ni Waafrika likubali hilo kama unafanya huu ujinga fanya chumbani mwako toka nje ukijipinda pinda kama mtoto wa kike ila mdomo wako ufunge.
Kwani mashoga wameanza kuwepo leo?walikuwepo ila walikaa kimya ninyi wa leo mnapita mitaani mkiringa mnawasikiliza wazungu hii Africa ukitaka uhuru unaoutaka wewe nenda ulaya.
Anza na dada zako Kule mitaani wanaojiuza kwanza. Sababu kubwa ya Afrika kutokupiga hatua za maendeleo ni watu wengi wenye "very low think capacity" Kama wewe, hovyo Sana wewe.Nawewe tukikukamata tunakuua tu. Usihalalishe dhambi Moja Kwa kutizama nyingine