Mtetezi wa Kundi la LGBTQ auawa

Mtetezi wa Kundi la LGBTQ auawa

Wahuni hawana utani huko kijijini angefanyia Mombasa labda
 
Kwa hiyo kosa ni kuwa shoga au ni kujitangaza?. Mkuu Kuna watu wanatembea na wake/ waume za watu na wanajitangaza mitaani na jamii nzima tunawajaua, kwanini hatuwavamii na kuwaua?.

Mimi sitetei ushoga, ila ninapinga kitendo Cha kuwahukumu na kuwaua, ushoga umekataliwa zaidi na Imani za dini, hasa hizi dini za kigeni, mbona Qur'an ilikataza waislam kula nguruwe lakini waislam wengi tu wanakula kiti moto hadharani na hakuna mtu anawahukumu?. Tupunguzeni unafiki.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mimi mpaka umri huu nakaribia kuuaga ujana sijawahi kusikia au kuona mtu ameitisha press kujisifia ametembea na wake za watu ila mashoga hiyo kwao ni kawaida.kuwa shoga kwa jamii siyo tatizo tatizo ni pale wanapolazimisha ku-adopt tabia za kishoga kwenye jamii na kuingiza ingiza vyama vyao uchwara vya kizungu mfano LGBTQ ndani ya jamii ya Kiafrika.

Umesema mfano wa waislam na nguruwe?nimeshindwa kuelewa umeshindwa nini kujua kwamba hao mashoga ilibidi wafanye kimya kimya kama hao wanaokula hiyo nyama,Muislam kama leo ijumaa hawezi beba sinia lenye roast pork akaenda nalo pale Masjid Idrisa Kariakoo akaketi pale nje wakati wenzake wanaswali akaingiza yeye vocal zake kwamba "nyama ya nguruwe ni tamu na kwamba kila mtu anatakiwa aile" halafu ukategemea ataachwa huyo atararuliwa dunia itashangaa.

Na ndiyo kilichompata huyu,Wakenya wameshasema ushoga wao hawautaki yeye anatoka na ki-top amejipaka poda anasema mashoga wana haki ya kuheshimiwa aliyemuuliza yeye shoga nani?na kwanini awe so special kiasi apewe heshima kwani alikuwa ana wasiwasi gani?
 
Mkuu, kwani lengo la kujitangaza ni lipi Kama sio kutaka watu wajue nini unalolifanya?, Kwani huyo shoga alienda na kufanya ushoga hadharani?, Yeye alichokifanya ni kuweka picha ya mavazi kwenye mitandao pekee. Kuna watu wanafumaniwa na wake za watu, na Kuna watu wanawajaza mimba wanafunzi, ulishasikia wakiuliwa?, hao waislamu wenye kula nguruwe, mbona wanakula hadharani Hotelini na migahawani, Kuna kujitangaza zaidi ya huko?.

Mkuu, ktk Mambo yanayodhalilisha nchi hizi za Dunia ya 3 ni pamoja na haya ya kukosa kuvumiliana na kukubali tofauti zetu za kijamii.

Huko Ulaya hakuna utamaduni wa kuvaa hijabu kwasababu Hilo vazi asili yake ni Uarabuni, lakini wanakubali na kuwavumilia waislam kuvaa na kuishi wakiwa "free" bila kubughudhiwa, japo Kuna baadhi ya Mambo yanayowaudhi, huku kwetu uvumilivu hatuna kabisa, hii ni sehemu ya "underdevelopment"

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mambo ya eldoret hayo, sasa hivi huko bara hakufai kwa harufu mbaya, wazungu wameharibu watu kweli kweli
 
Ila tuache masihara mtu anaethubutu kumvuta mbavu mwanaume mwenzake huyo lazima atakuwa na matatizo makubwa ya akili.

Ona hii nyang'au hapa,hiyo mikono ilivyokuwa migumu imejaa misuli liuso limejaa ndevu mwanaume unakuwaje attracted hadi ku-erect?mchezo wenyewe ni wa kuchezea M^√| hivi mtu anawezaje kurudia na kurudia?

Inafikirisha sana View attachment 2471090
Fala kama hili ni bora life tu
 
Kuna watu wana roho za peke yao yaani jitu kama hilo na sura yake unamtongoza vp mpaka anakuelewa anaenda anavua ana baki mtupu anainama na wewe unainuka unaingia dah![emoji848] Kuna viumbe wa hatari sana
 
Wazungu wanafanya wazi kwasababu ni halali kwao, ila pwani watu wanafanya kwa kujificha kwa sababu sio halali pale, mbona iko wazi ahahaha, ushoga ni sawa na kuiba watu wanafanya lakini wanajua kuwa haufai ndio maana wanajificha, sasa tuna shangaa wazungu wa Africa mashariki, imekuwaje tena mmemuua mwenzenu wakati nyie ni halali ushoga maana ni haki zenu wanadamu

Pwani wanafanya kwa kujificha kisa unafiki wa kidini lakini mnapenda sana hayo mavitu kufumuana.
Kuna baadhi yenu naona mumeacha unafiki wa kujificha, check huyu sheikh Meet the imam of Africa’s first gay-friendly mosque
 
Nafikiri umeelewa kilicho baki ni ubishi, ndio wanafanya kwa kujificha kama wanavyofanya majambazi na vibaya wengine kwa sababu jambo hilo sio halali kufanyika, lakini wazungu wanafanya hadharani kwasababu kwao ni halali mwanaume kufukuliwa mtaro, sasa ajabu ni kwamba nyie wa Kenya ndio wazungu wetu Africa mashariki inakuwaje tena mnaua mzungu mwenzenu
 
Hamna unachonielewesha maana nyie mnafanya kwa kujificha kisa unafiki wa kidini, ila mnapenda sana sema hamna namna, ni kama mnavyofahamika kula kitimoto kisiri siri.
 
Kufanya ni hiari yako lakini dini iko wazi kuwa ni haramu, ni sawa na zinaa tu , hata serikali yetu haijaweka uhalali kwenye jambo hilo, kwahiyo jambo la haramu ni kawaida binadamu kufanya kwa kujificha, lakini wazungu kufukua mitaro ni HALALI hakuna haja ya kujificha, sasa nyie wazungu wa wapi mnauana kwenye jambo la halali kwenu!!!
 
Hata wale ni hiari yao, sema wameamua kutoifanya siri, lakini nyie ukanda wote huo mnaongoza sana kwenye kufumuana.
Halafu mlivyo wanafiki wa kuelekeza kidole, ilhali mnafanya mengi tu kisiri siri..

7a86fac2-6638-4416-bcee-884ea067f98d-jpg.2464467
 
Akili yako haina akili kabisa, ndio maana Mungu akaweka pepo kisha akaweka moto, atakae tii amri atapata pepo, na atakae fanya mambo mabaya atapata moto, kwahiyo kama jambo uislamu au dini yeyote imelikataza, halafu wewe ukafanya ilo sio kosa la UISLAMU , hayo ni matatizo yako na utachomwa mwenyewe, ila kwa wazungu kwao ushoga ni halali kabisa wanaume kupakuliwa mitaro, nyie wazungu wa Kenya imekuwaje tena mnauana
 
Back
Top Bottom