MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Akili yako haina akili kabisa, ndio maana Mungu akaweka pepo kisha akaweka moto, atakae tii amri atapata pepo, na atakae fanya mambo mabaya atapata moto, kwahiyo kama jambo uislamu au dini yeyote imelikataza, halafu wewe ukafanya ilo sio kosa la UISLAMU , hayo ni matatizo yako na utachomwa mwenyewe, ila kwa wazungu kwao ushoga ni halali kabisa wanaume kupakuliwa mitaro, nyie wazungu wa Kenya imekuwaje tena mnauana
Nyie mnafumuana kwa siri kumkosha binadamu sio kwa ajili ya Mungu, maana hata mambo kama ramdhani wengi mnakula kula ila kisiri ili kumfurahisha mwanadamu, ndio tatizo lenu kubwa.