Mti "uliofufuka" huko Tabora ni sayansi au uchawi ?

Mti "uliofufuka" huko Tabora ni sayansi au uchawi ?

Maana ya tukio hili ni kuna mtu alidondoka aka weza kumka.

Baada ya kuamka kuna watu walionzunguka wanamzongazonga kwa matendo yao yasiyo kubalika katika jamii. Ndio hicho kinacho onyesha mti huo umebanduliwa banduliwa.

Hatari yake ni kuwa bahati mbaya ukachiwa kuendelea kubanduliwa ukidondoga lazima huyu mtu adondoke jumla.

Kumjua huyo mtu, angalia rangi ya majani ya huo mti hapo awali kabla ya kudondoka.

kujua wanao mzonga, angalia eneo la mti uliodondoka kijografia. Na pia agalia matunda au maua yatokanayo na huo mti yako vipi kimaumbile.

Tunatishana sasa
 
hamna cha uchawi hapo... mchawi asimamishe mti ili afaidi nini?

Huo mti angalia weight distribution ilivo kabla haujakatwa na hao wanaoamini ujinga.. Its obvious kabisa kua most of the weight ilikua chini, for such a tree upepo kiasi kidogo unaweza ukaunyanyua na kuurudisha back in place... Angalia shape ya mzizi wake na ulivojidistribute, its clear kua lazima uwe pushed back up even under application ya very small force,.. kwa wanavosema ulikua chini hapo ndo wengine wataanza kuongeza chumvi zao ilimradi tu uone ni kitu cha ajabu kumbe its just a normal thing unakuta ulikua umepinda labda angle>30degrees...

We need to stop mambo ya ushirikina hayatupeleki popote waafrika zaidi ya kutuweka nyuma daily tunaonekana wajinga na dunia nzima... nahisi hata ulimwengu mzima aliens wakitucheki wanasema dunia ina wajinga ila africa duh!
 
huo mti haupo tena, walishaukata wote, sasa watalii wataona nini
 
Back
Top Bottom