MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,184
- 5,435
MythKuna aina fulani ya mti nimkubwa tu na ni wa asili hupatikana msituni maeneo mbalimbali.
Mti huu unatumika kama dawa ya kutibu magonjwa mbalimbali.
Sifa za mti huu ni kuwa ndege akipaa usawa wa mti huo lazima afe na anaanguka chini ya mti husika.
Miti hii ilikuwepo kwa wingi lakini kwa sasa kupiata ni shida.
Kupitia jukwaa hili mwenye kujua ulipo aweza kuwasiliana nami.
Mmmh waganga wabaya
Nenda geita maeneo ya Mgusu kaulize wenyeji. Nasikiaga sio ndege ni Kila Mnyama akipita sehemu kivule kinapoishia anakufa.Kuna aina fulani ya mti nimkubwa tu na ni wa asili hupatikana msituni maeneo mbalimbali.
Mti huu unatumika kama dawa ya kutibu magonjwa mbalimbali.
Sifa za mti huu ni kuwa ndege akipaa usawa wa mti huo lazima afe na anaanguka chini ya mti husika.
Miti hii ilikuwepo kwa wingi lakini kwa sasa kupiata ni shida.
Kupitia jukwaa hili mwenye kujua ulipo aweza kuwasiliana nami.
Miti mingi ya asili haipo tena na hiyo michache iliyobaki haina nguvu tenaKuna aina fulani ya mti nimkubwa tu na ni wa asili hupatikana msituni maeneo mbalimbali.