MTI UNAOUA NDEGE NAUPATAJE.

MTI UNAOUA NDEGE NAUPATAJE.

MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
5,184
Reaction score
5,435
Kuna aina fulani ya mti nimkubwa tu na ni wa asili hupatikana msituni maeneo mbalimbali.
Mti huu unatumika kama dawa ya kutibu magonjwa mbalimbali.
Sifa za mti huu ni kuwa ndege akipaa usawa wa mti huo lazima afe na anaanguka chini ya mti husika.
Miti hii ilikuwepo kwa wingi lakini kwa sasa kupiata ni shida.
Kupitia jukwaa hili mwenye kujua ulipo aweza kuwasiliana nami.
 
Myth
 
Mmmh waganga wabaya

Nenda geita maeneo ya Mgusu kaulize wenyeji. Nasikiaga sio ndege ni Kila Mnyama akipita sehemu kivule kinapoishia anakufa.

Kivuli kinapoishia hakuna mmea wowote unao ota. Sijawahi fatilia Kwa kina ....mwaka 2008 nilienda maeneo ya huko nikaonyeshwa ule mti upo pekee yake mlimani umejitenga.

Ukipata wenyeji zaidi watakuambia mengi.
 
Kuna aina fulani ya mti nimkubwa tu na ni wa asili hupatikana msituni maeneo mbalimbali.
Mti huu unatumika kama dawa ya kutibu magonjwa mbalimbali.
Sifa za mti huu ni kuwa ndege akipaa usawa wa mti huo lazima afe na anaanguka chini ya mti husika.
Miti hii ilikuwepo kwa wingi lakini kwa sasa kupiata ni shida.
Kupitia jukwaa hili mwenye kujua ulipo aweza kuwasiliana nami.
Miti mingi ya asili haipo tena na hiyo michache iliyobaki haina nguvu tena
 
Back
Top Bottom