Mbona unaandika lugha za whatsapp hapa?
Mbona unaandika lugha za whatsapp hapa?
..akusaidie kufungua mirija ya ubongo sasa!Mimi amenixaidia xana nilikuwa na tatizo la kuziba mirij ya uzazi akanifanyia kixomo na xaxa nina ujauzito. But kila nikijarib kutk kuonana naye nakwama.
..akusaidie kufungua mirija ya ubongo sasa!
..cc: Mti wa Chuma
Hapo kwenye xa ulimaanisha nini?Mimi amenixaidia xana nilikuwa na tatizo la kuziba mirij ya uzazi akanifanyia kixomo na xaxa nina ujauzito. But kila nikijarib kutk kuonana naye nakwama.
Itabidi nikutafute kwa maelezo zaidiMkuu nilifanya biasha ya kuku wa kienyeji nanunua kijijini napeleka mjini. Niliaza na mtetea 10 kwa sh6000 na kuuza sh12,000 na Jogoo8 kwa sh8000 na kuuza sh15,000-18,000. Ilifikia hatua nachukua hadi kuku 70.Nimezungusha mara 15 nikafungua duka Same kwa mtaji wa M5.
kha vijana!!!Lugha ya whatxapp kvp ?
kha vijana!!!