Mti wa Chuma ni nani humu JF?

Mti wa Chuma ni nani humu JF?

Mkuu ulikuwa unataka kuonana nami au?
Nipo napatikana. Mengineyo kama unayo ya muhimu uniPM.
 
Mimi amenixaidia xana nilikuwa na tatizo la kuziba mirij ya uzazi akanifanyia kixomo na xaxa nina ujauzito. But kila nikijarib kutk kuonana naye nakwama.
Hapo kwenye xa ulimaanisha nini?
 
Mkuu nilifanya biasha ya kuku wa kienyeji nanunua kijijini napeleka mjini. Niliaza na mtetea 10 kwa sh6000 na kuuza sh12,000 na Jogoo8 kwa sh8000 na kuuza sh15,000-18,000. Ilifikia hatua nachukua hadi kuku 70.Nimezungusha mara 15 nikafungua duka Same kwa mtaji wa M5.
Itabidi nikutafute kwa maelezo zaidi
 
Back
Top Bottom