Mti wa Krismasi katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta wageuka Kituko. Wabadilishwa baada ya Wakenya kuubeza

Mti wa Krismasi katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta wageuka Kituko. Wabadilishwa baada ya Wakenya kuubeza

Pyepyepye

Wape Salaam Mukendo
Tia neno wanangu wa Tembo beach
Usisahau Hotel yangu enzi hizo Matvila
Usiache kumpa heko Suz wa Makoko
Ujue umenikumbusha mbali sana.

Huyo Sinister haiujui hata nchi yake
Bila shaka ni mtoto aliyezaliwa Makadara
Akaenda kusoma Bahati jirani na E3
Chakula chake kikipikwa Kariobangi South
Anaijua Ngong road zaidi ya chokoraa

Wasalaaam
Niko hapo Rock Garden Mwanza


Sent using Jamii Forums mobile app
Umedandia treni hujui laenda wapi? Punguza kiherehere.
Your fellow countryman was referring to someone else.
 
matusi ni ya nini?
Kenya & Tz are different worlds apart. You cannot compare the two. Compare Kenya to Egypt or S.A and Tanzania to Burundi or Somalia.
Comparing Kenya to Tz is a No-No! That's a very big insult.
Eti Kenya to Egypt and S.A...
Hahahaha shame!! Vituko haviishi hii dunia....
 
Mlimpa tenda fundi maiko mlitarajia nini sasa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
JKIA
IMG_20191220_065341.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja mkuu.

Ntakuwepo mwanza hivi karibuni kama hutojali, tutatafutana.
Pyepyepye

Wape Salaam Mukendo
Tia neno wanangu wa Tembo beach
Usisahau Hotel yangu enzi hizo Matvila
Usiache kumpa heko Suz wa Makoko
Ujue umenikumbusha mbali sana.

Huyo Sinister haiujui hata nchi yake
Bila shaka ni mtoto aliyezaliwa Makadara
Akaenda kusoma Bahati jirani na E3
Chakula chake kikipikwa Kariobangi South
Anaijua Ngong road zaidi ya chokoraa

Wasalaaam
Niko hapo Rock Garden Mwanza


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom