Mti wa mnyangala na mahospitali.

Loyal_Merchant

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
623
Reaction score
267
Nimekuwa nikisikia habari kuwa mti (wengine wanauita mlonga)huu umekuwa ukitumika kama zindiko katika mahospitali na umekuwa ukipandwa ktk entrance za hospitali. Kwa anaejua zaidi kuhusu habari ya huu mti naomba anijuze..
 
Nimekuwa nikisikia habari kuwa mti (wengine wanauita mlonga)huu umekuwa ukitumika kama zindiko katika mahospitali na umekuwa ukipandwa ktk entrance za hospitali. Kwa anaejua zaidi kuhusu habari ya huu mti naomba anijuze..
 
Nimekuwa nikisikia kwamba huu mti(wengine wanauita mlonge) umekuwa ukitumika kama zindiko katika mahospitali na huwa unawekwa katika entrace za mahospitali kama zindiko. Mwenye maelezo zaidi na huu mti naomba anijuze ni jinsi gani unatumika.
 
nimewah pata sikia kwamba huu mti(wengine wanauita mlonge) umekuwa ukitumika kama zindiko katika mahospitali na umekuwa ukipandwa katika entrances za mahospitali. kwa yeyote anayejua habari za mti huu naomba anijuze
 
Na wewe unataka ukauweke kwenye hospitali? Mbona unaulizia jinsi unavyotumika?
 
google. Mlonge ni dawa. Kuanzia mizizi, majani mpaka mbegu
 
Mkuu huo mti ni noma unatibu madawa kibao nani ndiyo mtipekee uliyotajwa kwenye biblia kuna sehem yesu aliufanyia maajabu.
Kuna watu wanapika xana diri kupitia mti huo kwan wanasafirisha mbegu zake kimya kimya kam unashida ya nguvu za kiume,au unamatatizo ya mbegu ukitumia hii mkeo anaweza kukukimbia maana utakuwa unamuogesha kwa mabao
 
Kwa kizungu unaitwaje ili niweze kugoogle.? By the way nilisikia unatumika katika aspect nyingine i.e kishirikina na sio as usual kama mitishamba mengine kama muarobaini inavyotumiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…