GE2025 Mtia nia ubunge Moshi Mjini ashikwa pabaya ,ashindwa kujibu maana ya 4R za Rais Samia

GE2025 Mtia nia ubunge Moshi Mjini ashikwa pabaya ,ashindwa kujibu maana ya 4R za Rais Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
18,223
Reaction score
31,465
Msikilizeni, mtatambua mnapeleka wabunge wa aina Gani Dodoma.

Elimu ya mgombea ubunge isipozingatiwa,nchi inaangamia.

Siasa sio ugomvi siasa ni upendo kama Simba na Yanga kwahiyo naomba maswali ambayo yatatupa maendeleo 4R za Rais Samia mimi mfanyabiashara nizijuwe kwa sababu ya nini, nipe madaraka ili niingine ndani ili nizijuwe zaidi

 
4R mchezo?Wakimbiwa CCM imejaa machawa wanakasirika,acha wajionee
 
Leta clip yote kuhusu swali na majibu, asa tunajadili jibu swali hujaweka twaanzia wapi
 
Ameulizwa maana ya 4R za Samia!

Jibu alilolitoa,umelisikia???
 
Hao ndio wagombea,waliopitishwa na Kamati Kuu ya CCM Taifa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom