TANZIA Mtia nia wa Ubunge Moshi Vijijini, Dkt. Donald Kisanga afariki dunia baada ya kupata ajali ya gari Dodoma

SN.BARRY

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2012
Posts
4,038
Reaction score
8,929
Napenda kuwapa pole CCM kwa kuondokewa na kada makini aliyekipenda sana chama chake.

Dkt. Donald Kisanga alikuwa kada wa CCM na mtia nia wa Ubunge Moshi Vijijini

Kiongozi wa chama cha waimbaji wa injili Tanzania.

Amefariki kwa ajali ya gari huko Dodoma.



Mwenyekiti wa UVCCM Kinondoni Oysterbay, Dkt. Donald Kisanga amefariki kwa ajali ya gari mjini Dodoma jana, Kisanga pia alikuwa mtia nia wa Ubunge Moshi Vijijini katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…