Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Poleni kwa msiba ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi naona sura ya Mwiguru Nchemba tuAlikuwa mtoto wa Marehemu Dr Kisanga (Urologist Muhimbili)? Naona sura kama ya Kisanga mkubwa, vile!
asante kwa taarifaSi umeambiwa ajali
Hawezi kuwa mwanaccm akaenda Mbinguni....never. hata kama mimi sio Mungu.Anaingia kwenye mbingu ya maccm wakati anasubiri kwenda kunakomstahili
Very Sad. Ana Sura kama ya Dr Kisanga Mtalaamu wa Magonjwa ya Figo Muhimbili. Daaah Sijui ni Mwamaee!!? RIP Kijana Doctor.Napenda kuwapa pole CCM kwa kuondokewa na kada makini aliyekipenda sana chama chake.
Dr.Donald Kisanga alikuwa kada wa CCM na mtia nia wa Ubunge Moshi Vijijini
Kiongozi wa chama cha waimbaji wa injili Tanzania.
Amefariki kwa ajali ya gari huko Dodoma.View attachment 1532355View attachment 1532356View attachment 1532357View attachment 1532358View attachment 1532359
Nadhani unazungumzia Dr Kisanga wa Nephrololgy na siyo Urology. Ila sura zinafananaAlikuwa mtoto wa Marehemu Dr Kisanga (Urologist Muhimbili)? Naona sura kama ya Kisanga mkubwa, vile!
Rudi kule juu ukasome.Aliumwa nini?
Nadhani unazungumzia Dr Kisanga wa Nephrololgy na siyo Urology. Ila sura zinafanana
Neurosurgeon.Alikuwa dokta wa nini? Kwa umri huo, inaonekana ameingia kwenye siasa kabla hata ya tasnia yake!