Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Mimi nyuma sipo salama wewe mbele ndio salama...Nahisi uko nyuma haupo salama, maana sio kwa ujinga huo. Umeelezwa kwa ufupi, umejibu kwa marefu bila maana yo yote. Pole sana.
Sio lazima unielewe au uelewe nilichosema,na sio lazima kiwe sahihi kwako wewe!
Nimejibu kwa urefu,niliemjibu kaelewa,who the fvck are you then?
Wewe unataka nini na niliemjibu ameelewa na kanijibu thereafter?Wewe ulitaka nikujibu wewe,kivipi kwa mfano?