TANZIA Mtia nia wa Ubunge Moshi Vijijini, Dkt. Donald Kisanga afariki dunia baada ya kupata ajali ya gari Dodoma

TANZIA Mtia nia wa Ubunge Moshi Vijijini, Dkt. Donald Kisanga afariki dunia baada ya kupata ajali ya gari Dodoma

Poleni sana Familia, pole ta kupoteza . Dr. Kisanga apumzike kwa Amani apate raha ya milele
 
Inategemea na kipato. Wengine tunakatiza nchi hii kwa Vitz. Inawezachukuwa juma zima lakini huwa tunafika. Alikuwa kijana mdogo. Ndio alikuwa anaanza maisha. Sitegemei awe na Landcruiser.
Mbona hiyo gari ni ya masafa mafupi? Yaani misele tu ya town!! Inakuwaje gari ya kuendea kazini na sokoni ameenda nayo masafa marefu?
 
  • Thanks
Reactions: amu
Picha ya mtoto ndo imenifanya nijisikie huzuni kuu...huyo mtoto ataumia Sana kummis baba...!rip
 
Inategemea na kipato. Wengine tunakatiza nchi hii kwa Vitz. Inawezachukuwa juma zima lakini huwa tunafika. Alikuwa kijana mdogo. Ndio alikuwa anaanza maisha. Sitegemei awe na Landcruiser.
Ndinga zimeua sana vijana wanaoanza maisha ,hawana uzoefu na long route pia wanadhani kila gari unaweza ukakanyaga pedal kutafuta mkoa mwingine.....Anyway kullu nafsin zaiqatul maut.
 
Mbona hiyo gari ni ya masafa mafupi? Yaani misele tu ya town!! Inakuwaje gari ya kuendea kazini na sokoni ameenda nayo masafa marefu?

Safari za Dar Dodoma hata kwa Vitz/ Passo sikuhizi watu wanaenda
-Pale Dodoma kuna hadi taxi za kwukuwahisha Dar kwa wabunge ambao wanatakaga kwenda Dar weekend bila magari yao wanaenda na Taxi(Premio, Corona nk) na madereva wa Kijiwe cha Dodoma Hotel wanapiga hela

-Halafu pia alikua mzoefu Mwezi uliopita alikuwepo kwenye mkutano mkuu na hapa juzi ndo alikwenda kumsindikiza JPM kuchukua fomu na alishafika akawa anasubiria mkutano wa UVCCM.

- Alipata ajali sehemu alitoka kula Kisasa mwisho nadhani wakati anarudi barabarani ndo lori likamzoa

Pia alikua anatumia Cruiser II mara nyingine
B186A48B-648D-45D9-9641-86C2E26BC09D.jpeg
 
Injili?
Inasemekana jamaa huyu alikua anaendesha akiwa kalewa anayumba barabara yote akiwa mwendo mkali akalivaa Fuso
 
Duh hii famili ya Kisanga inakumbwa na mabalaa sana.

Kufa wote tutakufa, hawa nawaonea huruma, nadhani kwasababu nawafahamu baadhi yao ndio maana.

Wanaowafahamu watanielewa.
Wanapatwa mabalaa gani mkuu?
 
Back
Top Bottom