TANZIA Mtia nia wa Ubunge Moshi Vijijini, Dkt. Donald Kisanga afariki dunia baada ya kupata ajali ya gari Dodoma

Hahaha nawafahamu wachache walioko jirani na hapa nilipo, mara kwa mara napata taarifa zao za hivi ndio maana ika comment vile sikuwa nazuia wasife mkuu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji28]ukaona yaishe[emoji134][emoji134][emoji16]
 

Duh aisee, nimejaribu kufikiria ni ajali ya namna gani, tena Dodoma mjini nikashindwa kupata jibu.!
Mwenye taarifa anazikwa wapi jamani tufahamishane.
 
Inasikitisha sana. Japo kifo hakiangalii umri lakini inaumiza sana vijana wadogo wanapopoteza maisha mapema namna hii.

Huu ni msiba mkubwa kwa wanafamilia. Mungu wetu awajaze moyo wa unyenyekevu katika kuyapotea mapenzi yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pumzika salama comred
Pole kwa wafiwa na chama chake
 
Maskini..alikuwa ni mkaka mzuri ๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ขohoo God tupe mwisho mwema.

Pumzika kwa amani Chief๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
 
ุงู†ุง ู„ู„ู‡ ูˆุงู†ุง ุงู„ูŠู‡ ุฑุงุฌุนูˆู†

Kila nafc itaonja umauti

Kila Nafsi Itaonja Mauti Na Hakuna Atakayebakia Isipokuwa Allaah ุณุจุญุงู†ู‡ ูˆุชุนุงู„ู‰

Anasema Allaah ุณุจุญุงู†ู‡ ูˆุชุนุงู„ู‰:

ูƒูู„ู‘ู ู†ูŽูู’ุณู ุฐูŽุขุฆูู‚ูŽุฉู ุงู„ู’ู…ูŽูˆู’ุชู ูˆูŽุฅูู†ู‘ูŽู…ูŽุง ุชููˆูŽูู‘ูŽูˆู’ู†ูŽ ุฃูุฌููˆุฑูŽูƒูู…ู’ ูŠูŽูˆู’ู…ูŽ ุงู„ู’ู‚ููŠูŽุงู…ูŽุฉู ููŽู…ูŽู† ุฒูุญู’ุฒูุญูŽ ุนูŽู†ู ุงู„ู†ู‘ูŽุงุฑู ูˆูŽุฃูุฏู’ุฎูู„ูŽ ุงู„ู’ุฌูŽู†ู‘ูŽุฉูŽ ููŽู‚ูŽุฏู’ ููŽุงุฒูŽ ูˆูŽู…ุง ุงู„ู’ุญูŽูŠูŽุงุฉู ุงู„ุฏู‘ูู†ู’ูŠูŽุง ุฅูู„ุงู‘ูŽ ู…ูŽุชูŽุงุนู ุงู„ู’ุบูุฑููˆุฑ
((Kila nafsi itaonja mauti. Na bila ya shaka mtapewa ujira wenu kamili Siku ya Qiyaamah. Na atakayeepushwa na Moto na akatiwa Peponi basi huyo amefuzu. Na maisha ya dunia si kitu ila ni starehe ya udanganyifu)) [Al-'Imraan: 185]

Tokea kuumbwa kwa Nabii Aadam ุนู„ูŠู‡ ุงู„ุณู„ุงู… hadi leo na mpaka siku ya Qiyaamah hakuna kiumbe kitakachobakia isipokuwa Mwenyewe Mola Mtukufu kama Anavyosema:
ูƒูู„ู‘ู ุดูŽูŠู’ุกู ู‡ูŽุงู„ููƒูŒ ุฅูู„ู‘ูŽุง ูˆูŽุฌู’ู‡ูŽู‡ู
((Kila kitu kitaangamia isipokuwa Yeye)) [Al-Qaswas: 88]

Vile vile Anasema Allaah ุณุจุญุงู†ู‡ ูˆุชุนุงู„ู‰ :

((ูƒูู„ู‘ู ู…ูŽู†ู’ ุนูŽู„ูŽูŠู’ู‡ูŽุง ููŽุงู†ู))
((ูˆูŽูŠูŽุจู’ู‚ูŽู‰ ูˆูŽุฌู’ู‡ู ุฑูŽุจู‘ููƒูŽ ุฐููˆ ุงู„ู’ุฌูŽู„ูŽุงู„ู ูˆูŽุงู„ู’ุฅููƒู’ุฑูŽุงู…))

((Kila kilioko juu Yake kitatoweka))
((Na Atabakia Mwenyewe Mola wako Mwenye utukufu na ukarimu)) [Ar-Rahmaan: 26-27]

Baada ya kupulizwa Swuur (baragumu) siku ya Qiyaamah viumbe vyote vitakufa kwa mpangilio Anaoutaka Mwenyewe Allaah ุณุจุญุงู†ู‡ ูˆุชุนุงู„ู‰. Kisha mwisho atabakia Malakul Mawt (Malaika mtoaji roho) na Allaah ุณุจุญุงู†ู‡ ูˆุชุนุงู„ู‰. Kisha Allaah ุณุจุญุงู†ู‡ ูˆุชุนุงู„ู‰ Atamuamrisha Malakul Mawt ajitoe roho yake mwenyewe. Atakapokufa Malakul Mawt Atabakia Allaah ุณุจุญุงู†ู‡ ูˆุชุนุงู„ู‰ Pekee wa Mwanzo na wa Mwisho, Al-Hayyul-Qayyuum (Mwenye uhai wa maisha, Msimamia kila jambo). Allaah ุณุจุญุงู†ู‡ ูˆุชุนุงู„ู‰ Siku hiyo Atazikusanya ardhi na mbingu katika Mikono Yake,

((ูˆูŽุงู„ู’ุฃูŽุฑู’ุถู ุฌูŽู…ููŠุนู‹ุง ู‚ูŽุจู’ุถูŽุชูู‡ู ูŠูŽูˆู’ู…ูŽ ุงู„ู’ู‚ููŠูŽุงู…ูŽุฉู ูˆูŽุงู„ุณู‘ูŽู…ุงูˆูŽุงุชู ู…ูŽุทู’ูˆููŠู‘ูŽุงุชูŒ ุจููŠูŽู…ููŠู†ูู‡ู))

((Na Siku ya Qiyaamah ardhi yote itakuwa mkononi Mwake, na mbingu zitakunjwa katika mkono wake wa kuume)) [Az-Zumar: 67]

Na Hadiyth kutoka kwa Ibn 'Umar ุฑุถูŠ ุงู„ู„ู‡ ุนู†ู‡ kwamba:

((ูŠุทูˆูŠ ุงู„ุณู…ูˆุงุช ูˆุงู„ุฃุฑุถ ุจูŠุฏู‡ุŒ ุซู… ูŠู‚ูˆู„: ุฃู†ุง ุงู„ู…ู„ูƒุŒ ุฃู†ุง ุงู„ุฌุจุงุฑุŒ ุฃู†ุง ุงู„ู…ุชูƒุจุฑุŒ ุฃูŠู† ู…ู„ูˆูƒ ุงู„ุฃุฑุถุŸ ุฃูŠู† ุงู„ุฌุจุงุฑูˆู†ุŸ ุฃูŠู† ุงู„ู…ุชูƒุจุฑูˆู†ุŸ)) ู…ุณู„ู…

((Allaah Atazikunja mbingu kwa Mikono Yake, kisha Atasema, Mimi ni Mfalme, Mimi ni Al-Jabbaar (Mwenye Kushurutisha), wako wapi wafalme wa dunia? Wako wapi majabbaar (wanaolazimisha), wako wapi wanaotakabari?)) [Muslim]

Hapo tena Atauliza mara tatu:
((ู„ู‘ูู…ูŽู†ู ุงู„ู’ู…ูู„ู’ูƒู ุงู„ู’ูŠูŽูˆู’ู…ูŽ))
((Ufalme ni wa nani leo?)) [Ghaafir:16]

Hakutakuwa na mtu wa kujibu, basi Atajibu Mwenyewe,
((ู„ูู„ู‘ูŽู‡ู ุงู„ู’ูˆูŽุงุญูุฏู ุงู„ู’ู‚ูŽู‡ู‘ูŽุงุฑ))

((Ni wa Allaah Mmoja Mtenda Nguvu)) [Ghaafir 16]

Na hapo tena ndipo kila mtu atakuta hesabu yake ya matendo aliyoyatenda duniani ikiwa ni mema au mabaya, hakuna atakayedhulumiwa hata chembe, kwani Allaah ุณุจุญุงู†ู‡ ูˆุชุนุงู„ู‰ Atahukumu kwa uadilifu baina ya viumbe Vyake. Kila jema Atalilipa kwa mara kumi na kila ovu atahesabiwa mja kwa ovu moja.

((ุงู„ู’ูŠูŽูˆู’ู…ูŽ ุชูุฌู’ุฒูŽู‰ ูƒูู„ู‘ู ู†ูŽูู’ุณู ุจูู…ูŽุง ูƒูŽุณูŽุจูŽุชู’ ู„ูŽุง ุธูู„ู’ู…ูŽ ุงู„ู’ูŠูŽูˆู’ู…ูŽ ุฅูู†ู‘ูŽ ุงู„ู„ู‘ูŽู‡ูŽ ุณูŽุฑููŠุนู ุงู„ู’ุญูุณูŽุงุจู))

((Leo kila nafsi italipwa kwa iliyochuma. Hapana dhulma leo. Allaah ni Mwepesi wa kuhisabu)) [Ghaafir: 17]


Poleni sana wanafamilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ