ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Tuliopo Znz leo tujitokeze kwa wingi uwanjani kuipa support timu hii ili iweze kurudi morogoro na taji
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna droo kule mkuuNasikia wanaoendaga uwanjani na matokeo yao huwa wanarudi vichwa chini!
Tuliopo Znz leo tujitokeze kwa wingi uwanjani kuipa support timu hii ili iweze kurudi morogoro na taji
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtibwa ni team nzuri lakini kwa mechi ya leo atafungwa na Simba na Simba atanyanyua kikombe.
Busta fc amebadilisha kikosi kizima ndani ya kipindi cha kwanza kuanzia dk ya 42 ila mpk sasa busta imetobolewa kimoko tu duh kweli wanalambalamba hawajawahi kuangusha raia wake[emoji113] [emoji122] [emoji122]Tuliopo Znz leo tujitokeze kwa wingi uwanjani kuipa support timu hii ili iweze kurudi morogoro na taji
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtibwa ni team nzuri lakini kwa mechi ya leo atafungwa na Simba na Simba atanyanyua kikombe.
[emoji23][emoji23]Mtibwa ni team nzuri lakini kwa mechi ya leo atafungwa na Simba na Simba atanyanyua kikombe.