Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo atakua afandi wa jesh la polish!Watu kama nyie mnaoandika kwa herufi kubwa ndo mnaiponza team yetu
Mbumbumbu mmeamka mmekutana na taarifa za Mo kujiuzulu uenyekiti wa bodiHAPA NAONA SHETANI NA MAMA MKWE WAKE JINSI WANAVYOTESEKA KILA SEKUNDE WAKIFIKIRIA LINI WATAFIKIA JAPO SUDUSI YA ILE TIMU BORA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI. TIMU YA MTIBWA SUKARI INASITAHILI PONGEZE KWA KUSHIRIKI HATUA YA FINAL YA MICHUANO HII YA MAPINDUZI ILA MWENYE MAKOMBE YOTE YA NDANI TANZANIA BARA ANAFAHAMIKA MSIMU HUU, YALIYOBAKI NI ZILE KAULI ZA MFA MAJI, UTASIKIA MARA OOOOOH MPIRA DAKIKA 90, SIJUI MPIRA UNADUNDA N.K HUKU WAKIJIFUNIKA BLANKET ZITO WATAKAPOAMKA SAA NNE NA NUSU USIKU WATAKUTA MWALI AMESHATWALIWA KITAMBO SANA HUKU WAKIISHIA KUSEMA MTIBWA ALIONESHA KANDANDA MADHUBUTI ILA BAHATI HAIKUWA YAO, MARA MWAMZI WA NDANI ALIENDA NA MATOKEO MFUKONI NA MANENO MENGINEYO YANAYOSHABIHIANA NA HAYO.
Mmenyanyua kikombe cha chaiMtibwa ni team nzuri lakini kwa mechi ya leo atafungwa na Simba na Simba atanyanyua kikombe.