wakimataifa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 942
- 168
kufungwa kwa mtibwa leo na azam najiuliza alihongwa au alichoka sio sababu ya kufungwa gali 5 hapana mpira alioucheza sidhani kama ndio huo anaocheza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kufungwa kwa mtibwa leo na azam najiuliza alihongwa au alichoka sio sababu ya kufungwa gali 5 hapana mpira alioucheza sidhani kama ndio huo anaocheza
kwahiyo arsenal kupigwa 6 na chelsea nayeye kauza game?
Kakutana na wanaojua mpira hakuna cha kuhongwa wala nini.kufungwa kwa mtibwa leo na azam najiuliza alihongwa au alichoka sio sababu ya kufungwa gali 5 hapana mpira alioucheza sidhani kama ndio huo anaocheza
wewe vipi unakurupuka nimesema sio sababu ya goli tano aina ya mpira aliocheza
Kakutana na wanaojua mpira hakuna cha kuhongwa wala nini.
kufungwa kwa mtibwa leo na azam najiuliza alihongwa au alichoka sio sababu ya kufungwa gali 5 hapana mpira alioucheza sidhani kama ndio huo anaocheza
Azam ni bora kuliko mtibwa...mtibwa wamepata haki yao
Kawaida tu.ndivyo gem lilivyo kuna siku mnacheza vizur na kuna siku hamchezi vizur..mtoa mada naona kuna kitu kimejificha kwenye maelezo yako
mtu kama wewe unajua mpira
hadi msemaji wao akakosea njia ya kurudia mjiniyanga waliwavuruga kisaikolojia
Hata Yanga alihongwa alipopigwa mkono na Simba.