Mtibwa kahongwa au alichoka

Mtibwa kahongwa au alichoka

wakimataifa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
942
Reaction score
168
kufungwa kwa mtibwa leo na azam najiuliza alihongwa au alichoka sio sababu ya kufungwa gali 5 hapana mpira alioucheza sidhani kama ndio huo anaocheza
 
N kawaida tu mbna cha maana zaidi ni kwamba nafasi walizopata Azam wamezitumia ipasavyo.
 
Kawaida tu.ndivyo gem lilivyo kuna siku mnacheza vizur na kuna siku hamchezi vizur..mtoa mada naona kuna kitu kimejificha kwenye maelezo yako
 
kufungwa kwa mtibwa leo na azam najiuliza alihongwa au alichoka sio sababu ya kufungwa gali 5 hapana mpira alioucheza sidhani kama ndio huo anaocheza

Na zile 2-0 walizopigwa na YANGA? Km ni hivo MTIBWA wana hela sana
 
Kawaida tu.ndivyo gem lilivyo kuna siku mnacheza vizur na kuna siku hamchezi vizur..mtoa mada naona kuna kitu kimejificha kwenye maelezo yako

Kweli mkuu! Ipo sana hii! Yanayomkuta MTIBWA yalishamkuta Mbeya city
 
mtu kama wewe unajua mpira

Ndo hivyo mkuu, Azam wana timu nzuri kwa sasa na kama wachezaji wakiwa makini zaidi hata ligi ya mabingwa wanaweza kufanya vizuri, bahati mbaya tu kwao timu wanayoanza nayo inaweza kuwa ni nzuri zaidi yao. Si unajua uzuri nao huzidiana. Good, gooder and goodest ila ukitaka kiingereza kizuri Good, Better, Best na mwingine anaweza kuja na the most best na hata the most best of all.
 
Back
Top Bottom