Mtibwa Sugar 0-0 Simba SC | Ligi kuu Bara| Manungu Morogoro

Pablo leo kawa mtulivu bila shaka uongozi wa Simba watakuwa wamempa somo la kupunguza kupanic
 
Mungu saidia Simba ishinde weekend ianze vizuri
Mkijitahidi saaaana droo mkimwingiza Chama na Morrison mnafungwa kabisaaa kiwanja hiki si rafiki kwao kiwanja hiki rafiki kwa wazawa
 
Kocha amesha ambiwa, akianza kupiga viti atafungwa kamba.kwasasa ameonyesha utulivu Kama yupo Madrid.

Mpira ni mapumziko na viongozi wa Simba wanajaribu kutafuta eneo lililo inuka ili wapate WIFI kwakua kocha anataka kuwasiliana na Zidane maana mechi imekuwa ngumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…