Mtibwa Sugar 0-0 Simba SC | Ligi kuu Bara| Manungu Morogoro

Mtibwa Sugar 0-0 Simba SC | Ligi kuu Bara| Manungu Morogoro

Hii mechi mkitaka kushinda vizuri tumieni vizuri faulo na kona.
 
Morison na chama wako nyuma ya mpira ebu tuone
 
Kipa kaicheza mpira umetoka imekuwa kona
 
Viwanja vya sampuli hii hakuna sababu ya kucheza mpira wa kitabuni, hapa ni kutafuta matokeo tu, piga ndefu tukachezee golini kwao
 
Viwanja vya sampuli hii hakuna sababu ya kucheza mpira wa kitabuni, hapa ni kutafuta matokeo tu, piga ndefu tukachezee golini kwao
Mshukuru tu Mtibwa haina washambuliaji wazuri. Hii mechi na yenyewe mlikuwa mnakwenda na maji.
 
Back
Top Bottom