OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
mkakati wa kuhakikisha Simba hapati matokeoIpi ilikuwa lengo la kutumia uwanja huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkakati wa kuhakikisha Simba hapati matokeoIpi ilikuwa lengo la kutumia uwanja huu
Kihimbwa sio kiumbwaKiumbwa kapewa kadi ya njano
Mikakati ya kupuuzi inauwa soka na ushindani wa kweli TFF popote mlipo jueni Mungu ni wetu sotemkakati wa kuhakikisha Simba hapati matokeo
Tayari visingizio! Mkishinda huwa ni shangwe tu na tambo nyingiii!!Ipi ilikuwa lengo la kutumia uwanja huu
Uwanja siyo rafiki kwa simba tu, au na Mtibwa pia!Simba inacheza vizuri ila ndo hivyo uwanja sio rafiki
Mshukuru tu Mtibwa haina washambuliaji wazuri. Hii mechi na yenyewe mlikuwa mnakwenda na maji.Viwanja vya sampuli hii hakuna sababu ya kucheza mpira wa kitabuni, hapa ni kutafuta matokeo tu, piga ndefu tukachezee golini kwao
Ili mpigwe.Ipi ilikuwa lengo la kutumia uwanja huu
Ndio tzMbona nasikia uwanja umejaa maji?