Kwani nyinyi ndio timu ya mwanzo kucheza uwanja huoSimba inacheza vizuri ila ndo hivyo uwanja sio rafiki
Nafsi yangu inakataa hakuna sare mkuuNgoma droo hii..
Mind the gap..kesho Yanga mapema tu 3points kibindoni.
Timu wanayoSimba hakuna team
Ulitaka alegeze? Ndio muda wa kutafuta nambaHuyu Banda bado ana machungu na Simba Sc eeh?[emoji23]
Hayo mambo utatoa maelezo polisiSimba inacheza vizuri ila ndo hivyo uwanja sio rafiki
Nawaona wazee wakuchukua ubingwa round ya kwanza mpo mnaendelea kushangilia ubingwa wenu..Mshukuru tu Mtibwa haina washambuliaji wazuri. Hii mechi na yenyewe mlikuwa mnakwenda na maji.
Chizi mda si mrefu atajiangusha eneo la 18Haya sasa tutafute penalty.
Unajua mara mwisho mechi kuchezewa hapo ni lini?Kwani nyinyi ndio timu ya mwanzo kucheza uwanja huo
Issue ya Simba Sc na Banda haijaanzia hapa ila kwakua wewe ni mtoto wa juzi hauwezi kuelewa kwanini niliandika comment kama ile.Hayo mambo utatoa maelezo polisi
Kwa mtibwa ni mzuri kwasababu wao wana defend, ukiangalia hata record yao hawawezi kuhimili mikiki ya simba kwenye pitch iliyotuliaUwanja siyo rafiki kwa simba tu, au na Mtibwa pia!