Mtibwa Sugar 0-0 Simba SC | Ligi kuu Bara| Manungu Morogoro

Benchi la ufundi la Simba inaonesha jinsi gani walijua Chama ndiye mwenye miujiza ya kubadilisha matokeo. Pablo anamuuliza Chama vipi asa kulikoni? Chama akajibu dakika bado
D😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huu uwanja umewekwa nyasi za mlenda, wachezaji hawawezi kupiga hatua mbili bila kudondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…