Mtibwa Sugar imeshuka daraja, itajuta kuuza akina Kibwana Shomary

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Mtibwa Sugar imefungwa na namungo Leo bao 4 2 tena kwenye homeground, wenyewe walikuwa wanajisifia sana kuwauza akina dickson Job, Abutwalib mshery na kibwana shomary, iliwahi kuwauza akina Shomary kapombe, mzamiru yasin nk, sasa maji yamefika shingoni, imebakiza mechi moja tu na the unbeaten Yanga, naiona shughuli yao msimu huu imekwisha, mwaka jana walinusurika wakabahatika kubaki kwenye playoff, this time hakuna habari hiyo.Mtibwa 2 Namungo 4.
 
Mtibwa haina uwezo wa kumzuia mchezaji akitakiwa na Simba au Yanga.

Thread yako imekaa kimajungumajungu na wivu.

Njoo jangwani ule biriani la ubingwa upunguze makasiriko.
 
Wakati huo ligi kuu inaitwa daraja la Kwanza, mtibwa, prison,zilikuwa Moto sanaaaaa Leo Hali zao ni mbaya aiseee
 
Mtibwa haijashuka daraja mkuu

Matokeo ya Tanzania prisons vs Simba ndyo yataakisi mienendo wa mtibwa

Kama prison atashinda leo atafikisha point 29 wakat huo mtibwa ana point 31

Hvyo mech ya mwisho ndyo itaamua

Ila kwa mtazamo mtibwa anaweza cheza playoffs ila kushuka n ngumu japo lolote laweza tokea
 
Jumatano hii kuna mechi ua kuingalia ni itakayowakutanisha ruvu shooting wazee wa mpapaso Barcelona ya bongo vs Tanzania prisons wazee wa pira kwata pira mifaulo hii mechi kila mtu atakuwa anapigania roho yake. Mtibwa hajashuka bado ila yupo kwenye hatihati ya kushuka ukizingatia mechi ya mwisho atacheza na yanga
 
sasa hyo mechi ya unbeaten na hao mtwiba mayelee ndyo atakapo mzid mpole
 
Mtibwa Sugar imefungwa na namungo Leo bao 4 2 tena kwenye homeground, wenyewe walikuwa wanajisifia sana kuwauza akina dickson Job, Abutwalib mshery na kibwana shomary, iliwahi kuwauza akina Shomary kapombe, mzamiru yasin nk, sasa maji yamefika shingoni, imebakiza mechi moja tu na the unbeaten Yanga, naiona shughuli yao msimu huu imekwisha, mwaka jana walinusurika wakabahatika kubaki kwenye playoff, this time hakuna habari hiyo.Mtibwa 2 Namungo 4.
Mkuu mtibwa imeshuka kivipi? Kwa ile table mtibwa bado yupoyupo sana
 
Sasa si ndiyo hapo! Mtibwa anashinda mechi ya mwisho, kama sehemu ya kulipa fadhila. Wanabakia Ligi kuu.

Mbona leo simba kauza mechi kwa Prisons, hatujasema kitu?
Ndio ile tafsiri ya kunya anye kuku akinya bata kaharisha..

Mtibwa atabaki ligi kuu.kombe tayari tunalo haina shida
 
Mtibwa ni utopolo B wacha washuke kbsa tena na hilo ngazi walioshukia itupwe uko kidimbwi fc
 
Back
Top Bottom