Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Mtibwa Sugar imefungwa na namungo Leo bao 4 2 tena kwenye homeground, wenyewe walikuwa wanajisifia sana kuwauza akina dickson Job, Abutwalib mshery na kibwana shomary, iliwahi kuwauza akina Shomary kapombe, mzamiru yasin nk, sasa maji yamefika shingoni, imebakiza mechi moja tu na the unbeaten Yanga, naiona shughuli yao msimu huu imekwisha, mwaka jana walinusurika wakabahatika kubaki kwenye playoff, this time hakuna habari hiyo.Mtibwa 2 Namungo 4.