Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Mtibwa haina uwezo wa kumzuia mchezaji akitakiwa na Simba au Yanga.Mtibwa Sugar imefungwa na namungo Leo bao 4 2 tena kwenye homeground, wenyewe walikuwa wanajisifia sana kuwauza akina dickson Job, Abutwalib mshery na kibwana shomary, iliwahi kuwauza akina Shomary kapombe, mzamiru yasin nk, sasa maji yamefika shingoni, imebakiza mechi moja tu na the unbeaten Yanga, naiona shughuli yao msimu huu imekwisha, mwaka jana walinusurika wakabahatika kubaki kwenye playoff, this time hakuna habari hiyo.Mtibwa 2 Namungo 4.
Mkuu mtibwa imeshuka kivipi? Kwa ile table mtibwa bado yupoyupo sanaMtibwa Sugar imefungwa na namungo Leo bao 4 2 tena kwenye homeground, wenyewe walikuwa wanajisifia sana kuwauza akina dickson Job, Abutwalib mshery na kibwana shomary, iliwahi kuwauza akina Shomary kapombe, mzamiru yasin nk, sasa maji yamefika shingoni, imebakiza mechi moja tu na the unbeaten Yanga, naiona shughuli yao msimu huu imekwisha, mwaka jana walinusurika wakabahatika kubaki kwenye playoff, this time hakuna habari hiyo.Mtibwa 2 Namungo 4.
Sasa si ndiyo hapo! Mtibwa anashinda mechi ya mwisho, kama sehemu ya kulipa fadhila. Wanabakia Ligi kuu.Tunawaachia mtibwa washinde kwani shida nini kolo?
Ndio ile tafsiri ya kunya anye kuku akinya bata kaharisha..Sasa si ndiyo hapo! Mtibwa anashinda mechi ya mwisho, kama sehemu ya kulipa fadhila. Wanabakia Ligi kuu.
Mbona leo simba kauza mechi kwa Prisons, hatujasema kitu?
Matola, wewe si ni kocha wa simba wewe!?Mtibwa haina uwezo wa kumzuia mchezaji akitakiwa na Simba au Yanga.
Thread yako imekaa kimajungumajungu na wivu.
Njoo jangwani ule biriani la ubingwa upunguze makasiriko.
Una uhakika ..?Sasa si ndiyo hapo! Mtibwa anashinda mechi ya mwisho, kama sehemu ya kulipa fadhila. Wanabakia Ligi kuu.
Mbona leo simba kauza mechi kwa Prisons, hatujasema kitu?
Kwahiyo ?Matola, wewe si ni kocha wa simba wewe!?