Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Ball boys tena!Labda asajiliwe kazi yake iwe kuokota mipira ikitoka nje ya uwanja anarudisha
Teh TehLabda asajiliwe kazi yake iwe kuokota mipira ikitoka nje ya uwanja anarudisha
we naye vipi hueleewi hapo au unafanya kusudiMajina siku hizi yana hati miliki?
Mbona mijibwa chungu nzima inaitwa Tom hatujasikia wenye jina wakilalamika
With all due respect young lady it's just misunderstanding Kiba hawezi kukutukana intensionaly
Duu halafu kamelalamika hako na mwishowe kakamwachia Mungu...Mungu haachiwi ana kila kitu
Halafu maskini wala hakuna mtifuano wowote, karuby kamelalamika wee kakimlalamia kaka kiba halafu kiba akakaomba radhi yakaisha. ...loh wenye kuyabeba wakayabeba yakanakshiwa kila aina ya maneno kisha yakarushwa halafu yakadakwa na wapenda umbeaNajua team mondi mtakomalia sana hii ishu.
Ndo wabongo tulivyo. Wenyewe wameshasameheana kitambo. Ila kuna watu watayakuza na kuongea mambo mengine ambayo sio kabisaHalafu maskini wala hakuna mtifuano wowote, karuby kamelalamika wee kakimlalamia kaka kiba halafu kiba akakaomba radhi yakaisha. ...loh wenye kuyabeba wakayabeba yakanakshiwa kila aina ya maneno kisha yakarushwa halafu yakadakwa na wapenda umbea
araf =halafuwe naye vipi hueleewi hapo au unafanya kusudi
mfano DIAMOND anunue mbwa araf amuite ALLY utaelewa vipi
changamsha ubongo wako
Unajua maana KIVAVA tafuta kamusi SANIFU ya KISWAHILI nakwambia utamuomba faster INVISIBLE akubadili ID yakoaraf =halafu
kwani RUBY ni jina lake halisi
jibu hilo halafu ujue unazungumzia bangi au famba
Hahahaa umeniacha hoi Sana mkuuHuyu demu Ana boa kwanza analazimisha kipaji na sauti yake utadhani ni mgonjwa wa ZIKA
Wangu mwenyewe anaitwa Robby!Majina siku hizi yana hati miliki?
Mbona mijibwa chungu nzima inaitwa Tom hatujasikia wenye jina wakilalamika
With all due respect young lady it's just misunderstanding Kiba hawezi kukutukana intensionaly
Hahahahaha!mimi mbona mbwa wetu nyumbani anaitwa Diamond na watu hamashoboki shoboki ovyo
Zari kama cjakosea.Hivi mbwa wa Wema anaitwaje tena?
Me mbwa wangu anaitwa Robbie,na kuna mshkaj wang anaitwa hvyo akija home lazma acheze na wajina'ake.Siku akikutembelea mtu mwenye jina Kama hilo mtambulishe kuwa wajina wako hiyo, alafu muonyeshe hiyo mbwa.
Sijawahi sikia mtu mjinga kama huyo dada anayelalamika...hilo ni jina maalum kwa ajili yake tu?kuna kina ruby wangapi...na kwa nini aone kama kaitwa yeye...
MzimuUnajua maana KIVAVA tafuta kamusi SANIFU ya KISWAHILI nakwambia utamuomba faster INVISIBLE akubadili ID yako
hii THREAD nimekosea njia huwa sina muda mchafu kuwajadili hawa MASTAA wa kibongo so tufanye UMESHINDA chukua kombe.
Hahahahaha!