Mtifuano: Alikiba na Ruby kisa jina la mbwa mpya wa Alikiba

Mtifuano: Alikiba na Ruby kisa jina la mbwa mpya wa Alikiba

Majina siku hizi yana hati miliki?
Mbona mijibwa chungu nzima inaitwa Tom hatujasikia wenye jina wakilalamika
With all due respect young lady it's just misunderstanding Kiba hawezi kukutukana intensionaly
we naye vipi hueleewi hapo au unafanya kusudi
mfano DIAMOND anunue mbwa araf amuite ALLY utaelewa vipi
changamsha ubongo wako
 
Kiba amekuwa na huyo kwa takribani miaka 4 sasa, na huyu "Ruby na Yule" sijui ameanza mziki lini?
Wapo mbwa wanaitwa Emma, Teddy, Annie, Winston, Rosie, Sammy, Rusty na kadhalika.
Na katika maisha ipo siku unaenda kwa sherehe na shati la kitenge bab kubwa unakutwa kitambaa kilifunika meza za chakula kimefanana na nguo yako. navyokujua UTAKONDA
 
Najua team mondi mtakomalia sana hii ishu.
Halafu maskini wala hakuna mtifuano wowote, karuby kamelalamika wee kakimlalamia kaka kiba halafu kiba akakaomba radhi yakaisha. ...loh wenye kuyabeba wakayabeba yakanakshiwa kila aina ya maneno kisha yakarushwa halafu yakadakwa na wapenda umbea
 
Ndo wabongo tulivyo. Wenyewe wameshasameheana kitambo. Ila kuna watu watayakuza na kuongea mambo mengine ambayo sio kabisa
 
we naye vipi hueleewi hapo au unafanya kusudi
mfano DIAMOND anunue mbwa araf amuite ALLY utaelewa vipi
changamsha ubongo wako
araf =halafu
kwani RUBY ni jina lake halisi
jibu hilo halafu ujue unazungumzia bangi au famba
 
araf =halafu
kwani RUBY ni jina lake halisi
jibu hilo halafu ujue unazungumzia bangi au famba
Unajua maana KIVAVA tafuta kamusi SANIFU ya KISWAHILI nakwambia utamuomba faster INVISIBLE akubadili ID yako

hii THREAD nimekosea njia huwa sina muda mchafu kuwajadili hawa MASTAA wa kibongo so tufanye UMESHINDA chukua kombe.
 
Majina siku hizi yana hati miliki?
Mbona mijibwa chungu nzima inaitwa Tom hatujasikia wenye jina wakilalamika
With all due respect young lady it's just misunderstanding Kiba hawezi kukutukana intensionaly
Wangu mwenyewe anaitwa Robby!
 
Siku akikutembelea mtu mwenye jina Kama hilo mtambulishe kuwa wajina wako hiyo, alafu muonyeshe hiyo mbwa.
Me mbwa wangu anaitwa Robbie,na kuna mshkaj wang anaitwa hvyo akija home lazma acheze na wajina'ake.
 
Sijawahi sikia mtu mjinga kama huyo dada anayelalamika...hilo ni jina maalum kwa ajili yake tu?kuna kina ruby wangapi...na kwa nini aone kama kaitwa yeye...

Teeh!!..teeh...Team kiba katika ubora wenu...
 
Unajua maana KIVAVA tafuta kamusi SANIFU ya KISWAHILI nakwambia utamuomba faster INVISIBLE akubadili ID yako

hii THREAD nimekosea njia huwa sina muda mchafu kuwajadili hawa MASTAA wa kibongo so tufanye UMESHINDA chukua kombe.
Mzimu
Wewe huna asili ya kiswahili,Kivava Ni jina la asili ya Kigombe,Pangani,Tanga ambapo pamoja na Lamu na Pate, Mombasa Ni asli ya Kiswahili
Maana yake "Baba mdogo"
We Mrugaruga hujui kiswahili baki na kiwavi chako -kigogo
 
Back
Top Bottom