Mtifuano: Alikiba na Ruby kisa jina la mbwa mpya wa Alikiba

Mtifuano: Alikiba na Ruby kisa jina la mbwa mpya wa Alikiba

Je angemuita simba mondi nae angesemaje aache ujinga mm Nina mbwa namuita Rooney
 
Mbona Hilo jina Mwansiti ni lake naskia Si unaona pua ile?
 
Majina siku hizi yana hati miliki?
Mbona mijibwa chungu nzima inaitwa Tom hatujasikia wenye jina wakilalamika
With all due respect young lady it's just misunderstanding Kiba hawezi kukutukana intensionaly
Sure mdau...mijibwa inaitwa jack..tyson..sasa Ruby analia nini..hilo jina analipia kodi![emoji15]
 
Back
Top Bottom