Mtifuano wanaume wa Dar vs wanaume wa mikoani

Mtifuano wanaume wa Dar vs wanaume wa mikoani

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
Habari wakuu.....

Hii iwe Ni Special Thread Ya Vita Ya Wanaume Wa Dar Na Wanaume Wa Mikoan

Hapa tupigane vijembe tusemezane Na
Utani mwingi

kira mtu Atete upande wake kwa Hoja, Vijembe, Utani nk

Matus Si mahala pake hapa leta hoja

Na Ni vzr Nyuz zote zinazoshabiana
Nahili Mods Mngeziunganisha Humu............!!!!!!!!!!!!!!!

Hivi karibuni kumezuka mtindo au tuseme

mtifuano baina ya watu wanaojiita wanaume wa
jiji la Dar es salaam na wale wanaume Wa Mikoan

chanzo cha malumbano hayo ni aina ya maisha ya
vijana wa kiume au kama wanavyojiita wanaume
wanaoishi Dae es salaam

Na wale wasioishi Dar
es salaam....

shutuma nzito

Zinazotolewa na
wanaume wa mikoani au waishio kwenye mikoa
mingine ni

kuwa wanaume wa Dar ni wana tabia
za kike yaani mienendo fulani hivi ambayo
haiendani na haiba ya kiume au
kiuanaume......kama vile kupenda kuongelea
sana au kuchunguza maisha ya watu
wengine....kujiremba sana ili waonekane
warembo na mambo mengine mengi
yasiyopaswa kufanywa na mwanaume rijali....

Kuwa legelege

Huku Wanaume wa Mikoan wakiongozwa na shutma......!!!!!!!!!!

Mwanaume mchafu kuoga kwa kulazimishwaa

Kwapa Na sehem za siri kutonyoa
uchafu mtupu

Usafi wa mdomo ndio sifuri
kabisa,wanaume wa mikoan mnanuka
midomo sababu ya kuendekeza pombe za
kienyeji

Kwenye mavazi ndio kabisaa sifuri,hamna
mpamgilio mzuri wa kuvaa

Nimegusia kira eneo ili Kuwafungua wasio jua kitakacho kuwa kikiendelea humu

Leta utan.....!!!!!
Hoja.....!!!!!!!
Vijembe......!!!!!

Nk

Mim Nipo Newton ( Chotara )
 
karibu tutaanza kuwaoa wanaume wa dar maana hawana tofauti na mabinti zao....pia usisahau sie wa mikoani tunaafya nzuri kwenye yale mambo yetu kwa hiyo wana darisalama watabaki kulia kulia kila siku wametendwa

hahaaaaa,umenikumbusha mbali sana mkuu,kuna kipindi Kala Pina msanii na kiongozi wa kundi la Kikosi cha Mizinga alipeleka barua ya posa kwa kina Mr.Blue,eti alitaka kumchumbia kwa kuwa wayback dogo alikuwa anajiremba sana,siku hizi kidogo baada ya kuanza kukaa na masela wa kundi la Micharazo linaloongozwa na Bedui Nyandutoz naona kaanza kuwa dume sasa
 
Nimepata taarifa kuwa panya road wameibuka maeneo ya Chamazi hapo Dar,naomba mwenye updates kuhusiana na wanaume wa Dar kwenye hii issue atupie hapa please!![emoji1].....Wanaume wa Dar wameshajifungia ndani tayari?[emoji30]
 
Hao ni wazawa wa Dar hapa hapa
 
hahaaaaa,umenikumbusha mbali sana mkuu,kuna kipindi Kala Pina msanii na kiongozi wa kundi la Kikosi cha Mizinga alipeleka barua ya posa kwa kina Mr.Blue,eti alitaka kumchumbia kwa kuwa wayback dogo alikuwa anajiremba sana,siku hizi kidogo baada ya kuanza kukaa na masela wa kundi la Micharazo linaloongozwa na Bedui Nyandutoz naona kaanza kuwa dume sasa
Khaaaaahhh huu utan wa ngumi atheee
 
Kipindi hicho cha utoto ilikua mkibishana sana watu wa kundi moja na jingine mnapanga siku mnakutana uwanja wa mpira usiku, anatoka mmoja huku na mmoja huku. Kundi litakalotoa washindi wengi ndiyo mabingwa.

Nashauri tutumie mbinu hii, uwanja wa taifa Simba na Yanga washanyimwa tuuombe huo huo. Mimi nitaorganize mabondia kutokea Manzese, Mabibo, Mwananyamala na kila anayetaka kutetea hadhi yake.

Tupasue watu hadi wakae sawa.
 
Huu ni utan wa ngumi
 
Ila kwa nin wanawake wa mikoani wanawashobokea watu wa Dar na pia Vijana wengi wa mikoani wanakuja Dar kutafuta.maisha wakikosa kazi hapo tunapata vibaka Mateja Mashoga? mfano huyu Kaoge ni wa Mkoani huko kanda ziwa
8e9d98ddbb3feac6e43025bda87ecdb5.jpg
 
Back
Top Bottom