Mtifuano wanaume wa Dar vs wanaume wa mikoani

Basi Endeleeni kupigwa Manaa Kumbe hata Ulinzi Hamjui... Kwani Ukimkamata Mmoja au Wawili si watawataja Wengine ....

Tatizo lenu hamna Umoja Dar Nzima Kila Mtu anajifanya yupo Busy anatafuta Maisha
Ushawahi kufika dar?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] huu uzi utakua msaada tosha kwa wanaume wa mkoani kupunguzia stress zao,wanakuambia kua sisi hatuna nguvu ila tukiingia mikoani tunawajambisha na tunachafua bed sheet za dada zao kwa idadi kubwa ya mabao.
 
Ila tukija mkoani pamoja na nyie wanaume wa huko kulu ugali wa dona,muhogo na mtama sisi viepe na soseji tunawagongea mademu zenu wotee huko mkoani wanashoboka na swaga zetu tu.
 
Hahahaahh hawa wanaume wa dar walegevu sana mtu hawezi kukamatwa na scopion akatolewa macho alafu watu wanaona na huyo aliyetolewa macho hata kujitetea hata kwa meno hakuna [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ila kwa nin wanawake wa mikoani wanawashobokea watu wa Dar na pia Vijana wengi wa mikoani wanakuja Dar kutafuta.maisha wakikosa kazi hapo tunapata vibaka Mateja Mashoga? mfano huyu Kaoge ni wa Mkoani huko kanda ziwa
ila si anaishi dar...... kakimbia huku mkoani mana sisi hatupendagi ujinga
 
ila si anaishi dar...... kakimbia huku mkoani mana sisi hatupendagi ujinga
Kuna shida huko munakuja dar mukidhani kupata kazi ni rahisi mwisho wa siku ndo kama hao alipohojiwa alisema kuwa alipo ona maisha magumu ikabid aje Dar as Salaam mana atapata soko
 
Kuna shida huko munakuja dar mukidhani kupata kazi ni rahisi mwisho wa siku ndo kama hao alipohojiwa alisema kuwa alipo ona maisha magumu ikabid aje Dar as Salaam mana atapata soko
uku angekulaa shaba tu uyoo sisi atuleii upuuzi wanaume wa dar mmempokeaa kwa sababu mnafanana nae tabia siunajua tena undugu na urafiki always is about sharing of some common interest.....
 
wanaume wa mkoani! warembo tu, hawajui tafuta fedha
 
Mikoani ni wapi huko?

Kwani dar nao sio mkoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…