Mtifuano wanaume wa Dar vs wanaume wa mikoani

Mtifuano wanaume wa Dar vs wanaume wa mikoani

Basi Endeleeni kupigwa Manaa Kumbe hata Ulinzi Hamjui... Kwani Ukimkamata Mmoja au Wawili si watawataja Wengine ....

Tatizo lenu hamna Umoja Dar Nzima Kila Mtu anajifanya yupo Busy anatafuta Maisha
Ushawahi kufika dar?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] huu uzi utakua msaada tosha kwa wanaume wa mkoani kupunguzia stress zao,wanakuambia kua sisi hatuna nguvu ila tukiingia mikoani tunawajambisha na tunachafua bed sheet za dada zao kwa idadi kubwa ya mabao.
 
1477208742943.jpg
mtoto wa mkoani
 
Ila tukija mkoani pamoja na nyie wanaume wa huko kulu ugali wa dona,muhogo na mtama sisi viepe na soseji tunawagongea mademu zenu wotee huko mkoani wanashoboka na swaga zetu tu.
 
Hahahaahh hawa wanaume wa dar walegevu sana mtu hawezi kukamatwa na scopion akatolewa macho alafu watu wanaona na huyo aliyetolewa macho hata kujitetea hata kwa meno hakuna [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ila kwa nin wanawake wa mikoani wanawashobokea watu wa Dar na pia Vijana wengi wa mikoani wanakuja Dar kutafuta.maisha wakikosa kazi hapo tunapata vibaka Mateja Mashoga? mfano huyu Kaoge ni wa Mkoani huko kanda ziwa
8e9d98ddbb3feac6e43025bda87ecdb5.jpg
ila si anaishi dar...... kakimbia huku mkoani mana sisi hatupendagi ujinga
 
ila si anaishi dar...... kakimbia huku mkoani mana sisi hatupendagi ujinga
Kuna shida huko munakuja dar mukidhani kupata kazi ni rahisi mwisho wa siku ndo kama hao alipohojiwa alisema kuwa alipo ona maisha magumu ikabid aje Dar as Salaam mana atapata soko
 
Kuna shida huko munakuja dar mukidhani kupata kazi ni rahisi mwisho wa siku ndo kama hao alipohojiwa alisema kuwa alipo ona maisha magumu ikabid aje Dar as Salaam mana atapata soko
uku angekulaa shaba tu uyoo sisi atuleii upuuzi wanaume wa dar mmempokeaa kwa sababu mnafanana nae tabia siunajua tena undugu na urafiki always is about sharing of some common interest.....
 
wanaume wa mkoani! warembo tu, hawajui tafuta fedha
 
Habari wakuu.....

Hii iwe Ni Special Thread Ya Vita Ya Wanaume Wa Dar Na Wanaume Wa Mikoan

Hapa tupigane vijembe tusemezane Na
Utani mwingi

kira mtu Atete upande wake kwa Hoja, Vijembe, Utani nk

Matus Si mahala pake hapa leta hoja

Na Ni vzr Nyuz zote zinazoshabiana
Nahili Mods Mngeziunganisha Humu............!!!!!!!!!!!!!!!

Hivi karibuni kumezuka mtindo au tuseme

mtifuano baina ya watu wanaojiita wanaume wa
jiji la Dar es salaam na wale wanaume Wa Mikoan

chanzo cha malumbano hayo ni aina ya maisha ya
vijana wa kiume au kama wanavyojiita wanaume
wanaoishi Dae es salaam

Na wale wasioishi Dar
es salaam....

shutuma nzito

Zinazotolewa na
wanaume wa mikoani au waishio kwenye mikoa
mingine ni

kuwa wanaume wa Dar ni wana tabia
za kike yaani mienendo fulani hivi ambayo
haiendani na haiba ya kiume au
kiuanaume......kama vile kupenda kuongelea
sana au kuchunguza maisha ya watu
wengine....kujiremba sana ili waonekane
warembo na mambo mengine mengi
yasiyopaswa kufanywa na mwanaume rijali....

Kuwa legelege

Huku Wanaume wa Mikoan wakiongozwa na shutma......!!!!!!!!!!

Mwanaume mchafu kuoga kwa kulazimishwaa

Kwapa Na sehem za siri kutonyoa
uchafu mtupu

Usafi wa mdomo ndio sifuri
kabisa,wanaume wa mikoan mnanuka
midomo sababu ya kuendekeza pombe za
kienyeji

Kwenye mavazi ndio kabisaa sifuri,hamna
mpamgilio mzuri wa kuvaa

Nimegusia kira eneo ili Kuwafungua wasio jua kitakacho kuwa kikiendelea humu

Leta utan.....!!!!!
Hoja.....!!!!!!!
Vijembe......!!!!!

Nk

Mim Nipo Newton ( Chotara )
Mikoani ni wapi huko?

Kwani dar nao sio mkoa?
 
Back
Top Bottom