Mtifuano wanaume wa Dar vs wanaume wa mikoani

Kuna mtu atashuka Ubungo na Rambo yake asipokelewe kwa utani huu...ndo utajua kama mahindi hayapakwi chumvi au la
 
Nimepata taarifa kuwa panya road wameibuka maeneo ya Chamazi hapo Dar,naomba mwenye updates kuhusiana na wanaume wa Dar kwenye hii issue atupie hapa please!![emoji1].....Wanaume wa Dar wameshajifungia ndani tayari?[emoji30]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimepata taarifa kuwa panya road wameibuka maeneo ya Chamazi hapo Dar,naomba mwenye updates kuhusiana na wanaume wa Dar kwenye hii issue atupie hapa please!![emoji1].....Wanaume wa Dar wameshajifungia ndani tayari?[emoji30]
Si Hata hao panya road ni wanaume WA dar...!?
Sema wanaume wa dar wameingia mtaani...!!
 
Hivi kumbe Dar kuna wanaume?
 
Sifa za wanaume wa Dar
Kujichubua.
Kupenda kulelewa.
Kuishi maisha yasioyao.
Wengi wao ni migasho.
Roho mbaya.
Umbea na kusuntana.
Eeh wabinafsi acha kabisa.
Wengi wao majogoo hawapandi mitungi.
Yani wao waambie kuolewa ndo habari wanaziweza.

Wanaume wa huku kwetu.
Wanajua kipi kimewaleta duniani.
Ni rahis sana kuwapa wenzao connection za kazi na videal deal.
Wanaeza onganisha hadi bao tatu.
Wanajua mwanamke anahitaji nin.
Wengi wao wana rangi zao za asili.
Wanajua kutunza familia haswa.
6/6 utadata.
Wana mijib****o ya haja.
Wanajua kumwaga pesa kwa sabb wanajua kuzitafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…