Wengi humu ndani tuna watoto..na baadhi ya wanetu ndio wanaanza mitihan yao leo hii!Hii topic hapa si mahala pake. Humu kuna mtoto wa primary anaingia?. Au hzo comment zenu nani atazisoma.
Kumbe CCM ni chafu that y hutaki watoto waifahamu??Saint,,
Mambo ya CCM hapa yanaingiaje?
Tusianze kuwachafua wanetu kwa siasa..
Wahusika wa hizi wishes wapo facebook. wafate huko.Nawatakia Mtihani mwema..
Nakumbuka miaka hiyo furaha niliyokuwa naiwazia baada ya kumaliza shule ya msingi.
Wishing You All The Best!

Basi serikali iwe inatoa primary certificate ili kuwe kuna mzuka katika mitihani hii jamani.

Wengi humu ndani tuna watoto..na baadhi ya wanetu ndio wanaanza mitihan yao leo hii!

Siyo lazima wao wasome,

Kama wewe halikugusi kwa namna moja au nyingine..hulazimishwi kuchangia..ipotezee tu!