Mtihani kidato cha nne: OCD wilaya ya Kondoa ampiga vibaya mkuu wa shule wa Kikore

Habari za uhakika toka kondoa OCD husika anahamishwa na leo anakabidhi ofisi
Waalimu wa huko walichachamaa kupinga kitendo hicho chwa mwl mwenzao kudhalilishwa
 
Kazi kweli kweli........jamani strong room ndo room gani
ni chumba ambacho hutumiwa kuhifadhia mitihani ya kitaifa ktk shule kwa jina lingine huitwa chumba imara ambacho huwezi ingia kirahisi


ukishasoma delete...futa kabisa
 
Huyo OCD kwanini asianze na aliyejenga hizo shule za Kayumba mH. Edward Lowasa kwanza au ndiyo muendelezo wa manyanyaso kwa walimu? Kwanini kila mtu anayejifunza kuwa maarufu anaanzia kwa walimu mbona sijasikia wakiwapiga TRA, Benki, au mafundi gereji.

Na nyinyi walimu mmezidi kujilegeza mpaka mnaonewa sasa, kuna haja ya kuamka na kuanza kuchukua mazoezi makali ya viungo ili muwe wakakamavu. Siku akijichanganya mtu na "hangover" zake za usiku mumtolee mfano.
 
Habari za uhakika toka kondoa OCD husika anahamishwa na leo anakabidhi ofisi
Waalimu wa huko walichachamaa kupinga kitendo hicho chwa mwl mwenzao kudhalilishwa
Haitoshi hatua zaidi za kisheria zichukuliwe dhidi ya dhalimu huyo.Kwanza apimwe akili...
 
mimi nasomea ualim na niimepita jkt subiri niajiriwe alafu kenge ajitokeze aone moto kwanini upigwe kizembe hivyo./
Umenifurahisha sana, naomba ukifika huko badilisha akili za walimu wetu hawa, tumechoka kusikia mara mkuu wa wilaya ametandika walimu viboko, mara mzazi amempia mwalimu mpaka kazirai, hii nini sasa!!!!!!!!
 
Habari za uhakika toka kondoa OCD husika anahamishwa na leo anakabidhi ofisi
Waalimu wa huko walichachamaa kupinga kitendo hicho chwa mwl mwenzao kudhalilishwa

kosa alofanya ni la kuhamishwa kituo au kufukuzwa kazi???watumish/wafanyakazi wakipigana eneo la kazi adhabu yao ni nini???mwalim anapaswa kumshtak huyo OCD
 
Kwa hiyo kama kuna uzembe katika utendaji hakuna njia sahihi za kuwajibisha mtu bali jibu lake ni kupiga tu au siyo?
 
Hapana, hii kama malaria vile, HAIKUBALIKI! tena kama timu nzima ya usalama wa Taifa na Afisaelimu wapo wakati mlinzi wa Raia na mali zake anapigwa na kuchaniwa shati mbele ya walimu wake, SIDANGANYIKI!
 
Kazi kweli kweli........jamani strong room ndo room gani
Dada yangu hata wakati ule wewe unasoma shule, hicho chumba kilikuwepo, katika shule nyingi huwa ni ofisi ya Mwalimu mkuu ambapo ndani yake huwa kuna KASIKI (KABATI LA CHUMA) ambalo humo huhifadhiwa nyaraka nyeti kama vyeti vya watahiniwa na mitihani kama wakati huu ikifanyika.

Kwa hiyo chumba kikijumlishwa na hilo kasiki ndipo huitwa STRONG ROOM na ni lazima iwe na madirisha imara na mlango imara (Grill)
 
Nimefatilia hili sakata,ocd wakati anataka kukabidhi mitihani alitaka chumba kiwe hakina kitu kabisa.Mwalimu akamwambia haingewezekana sababu chumba hicho kilikuwa ndio ofisi ya mkuu na walimu pia.Aidha hapakuwa na man power ya kuhamisha vifaa vyote maana wanafunzi na walimu hawakuwepo wakati huo.Jibu hilo likamkera ocd akaanza kumshambulia mwalinu,,,,,,,,inasemekana serikali ya mkoa imekasirishwa na ujinga ujinga wa mbabe huyo na taratibu za kumhamisha na kumbadilishia kazi zinaendelea.Shati la mwalimu lililochanwa nalo limefuatwa.
 

mialimu na mipolisi yote ni mijitu ya CCM
 
walimu ni wa kupiga tu kama pinda alivyosema, huwa hawajitambui hawa walimu ni waoga hata kudai haki zao, wakiambiwa wagome hawagomi, kwenye mikutano ya lichama la mafisadi wanapeleka wanafunzi.....hongera sana OCD tahira kwa kumpiga huyo mwalimu, ikibidi ma-OCD wote igeni huo mtindo.
 

wewe utakuwa ni MWEHUUUU... she*******z
 

Huyo OCD ni lazima anavuta Bangi mkuu wa shule sio wajibu wake kujenga strong room tunasubiri kauli ya mkuu wa mkoa huo vinginevyo kama huyo ocd asipo fukuzwa kazi basi walimu wote tutaandamana nchi nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…