Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OCD wa kituo cha Polisi Kondoa Mjini, hivi majuzi alimchakaza makonde Mwalimu Mkuu wa shule ya sekondari Kikore.
Tukio hilo lilijiri pale baada ya Big wa polisi huyo alipoona amri aliyezoea kuituoa kwa maskari wake kutokutekelezwa. Big wa polisi almpa amri Big Teacher wa sekondari atoe vitabu na makabati na vifaa vingine kutoka kwenye chumba kinachotumika kutunza vifaa hivyo. Kamati maalumu inayoshughulika na mitihani haikutoa taarifa kwa mkuu wa shule kuhusu wao kukagua chumba hicho na ilishalipwa posho za ukaguzi wa vyumba vya kutunzia mitihani (Strong Rooms) kamati Ilidhibitisha chumba husika kilishakaguliwa ,kumbe kamati haikukagua chumba hicho, ilidanganya. Sasa siku ya Jumapili Big Teacher ndipo alipokutana na amri ya big wa Polisi Wilaya, "toa vitu vyote harrakaa sanaaa, tunataka turiwekeee rimitahani ikae humo" Mkuu wa shule akamjibu " leo ni Sunday wa wanafunzi hawapo, ni vigumu mimi mwenyewe kuifanya hiyo kazi" Ila kesho an early asubuhi wanafunzi wakishafika hapa watatoa hivyo vitu na chumba kitawa empty" Big wa maskari Wilaya akamuuliza. "Wewe inanijibu mimi hivyo " Ndipo Big wa maskari akaona amunyeshe mambo ya kung- fu, ngumi moja ya mdomo, teke moja sehemu nyeti za kiume, chana shati lake. Damu ikamtoka Big Teacher. Simu ikapigwa kwa Mkuu wa mapolisi Mkoa -Dodoma ( WATU WENGI HAJUI KONDOA NI MOJA YA WILAYA MKOANI DODOMA, UKO NFUSE NA SINGIDA) Big wa mapolisi Mkoa alifika eneo la tukio na PF3 toka Mkoani (Big up for big wa mapolisi Mkoa:biggrin1::biggrin1::biggrin1🙂 Big Teacher akapata matibabu stahiki. Tusubiri yatakayojiri juu ya Big wa mapolisi Wilaya, nitawajuza. Inauma sana Teacher wetu kupigwa wa JF.​